


Daah leo hii mpaka
mkorea anaongea hivi tena kwa uchungu ujue akili zimeanza kurudi mahali pake, Mkorea wewe si ndio ulikua mpiga zumari mkuu wa yule motivational speaker wenu Masingeli?
Lile jamaa lilikua na ushawishi wa hali ya juu sana, alijua kuwalisha upepo na analysis zake uchwara za pressing na overloading, positional interchange, flexibility na aerial duel, mambo yalivyokua magumu ikabidi liwe linapigwa haram football akahamia kwenye kusifia set pieces na nyinyi chawa zake mkawa mnaimba mapambio humu ya kusifu na kuabudu.
Sijui hata liko wapi sasa hivi Cha-mbuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi, Mkurugenzi mkuu wa taasisi kubwa kabisa Africa mashariki na kati
hamis77 Integrated Investment Co. LTD