Kitwango Mikazo Miguno
JF-Expert Member
- Apr 9, 2023
- 243
- 418
Hapa hata mimi nakubali jamaa atuachie tu timu sasa maana seems like strategies zake zote zimefeliHamna kocha pale.
Usiweke matarajio makubwa kwa yule kocha utajiumiza.
Nyumbu wanaweza kuwahi kujipata kabla yetu.
Tottenham anapata kombe sisi tumetoa macho tu.
Isitoshe anaona tuna kikosi chembamba tena finyu ila anahangaika na positions ambazo zina alternative ila kule mbele aaah hataki
