Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Moja kati ya eneo mashabiki wengi wamekuwa ama hawalioni au wanaona haya kulizungumzia ni nafasi ya captain odegard.
Najua amecheza zaidi ya mechi kumi za mwisho wa ligi akiwa na maumivu na hakufanyiwa upasuaji kwa kuhofia kuongeza idadi ya majeruhi.

Ila jamaa ni weak spot yetu tunapohangaika kutengeneza a complete article.ukiwa unacheza na mid-table teams huwezi ona hii shida ila ukikutana na team ambazo ni paceable, transitional monsters na ziko physical basi jamaa Huwa anatukaba mnooo.

Huyu anatakiwa kuletewa mtu haswa kwenye nafasi yake ili yeye abaki kucheza pale mazingira ya mechi yanapo "compliment"

Kama una mechi ya vita haswa,Niamini Mimi ode anatakiwa aingie kama sub tu.kama ni mtu wa mpira utaelewa nachozungumza.Ukitumia TAKWIMU kama baseline ya kumtetea you will get it all na kuna muda unaweza hisi ni pirlo dimbani ila huyu kama tunataka ubingwa next season inabidi awe sehemu ya timu tu
 
Unawatazama strikers walioko sokoni,
Unajiuliza sababu kuu ya sisi kukosa kombe lolote la maana msimu huu jibu linakuja kwa haraka majeruhi,ila baada ya muda unasikia sauti ya utulivu kabisa ndani yako ikikwambia "mshambuliaji"

Kwanza unaleta ubishi kwa kuangalia namna tulivyoathiriwa na majeruhi ya defenders,strikers tulionao,wings na hata viungo na jinsi walivyotuathiri kwa kukaa nje muda mrefu na unahitimisha kwa kusema " majeruhi" ni chanzo.

Kisha ghafla katika kufikiri unakumbuka Bayern kachukua ubingwa ana harry cane,
Inter wako final UEFA na lautaro
Barcelona Wana kombe na lewandowsk.
Liverpool Wana Salah japo sio natural striker.unafikiri na unajiuliza mwenyewe hivi kweli tatizo ni majeruhi tu au ubutu wa safu ya ushambuliaji.

Unawazaaaa ila unaamua kupotezea kwa kusubiri mechi ya fainali ya UEFA.Next season is loading

Same owner
Same players
Same coach
Same stadium
Same fans
Same attitude
Same love for our team.

Anything will change? Muda utaongea
 
Msimu wake wa kwanza tu kanyanyua ndoo, sisi wacha tuendelee kumuamini Tetea Kiwigi atatupea Uefa na Epl 2050
1748278272802.jpg
 
Hivi nyie jamaa mmeona nini kwa huyo sesko mpaka kufikia kumfungia macho dogo gykoers dah mngejua huyo ndio missing piece yenu mko kama walevi na management yenu haipo serious utaskia wanafukuzia, tena another midfielder dah
Hawa viazi hawajawahigi kuwa serious, huyo Sesko kazidiwa magoli na Lacazette, sa si bora wangebakigi tu na Lacazette.
Ushangae walimfukuza Emiry wakamchukua Kiwigi! Wakati Emiry ana IQ kubwa sana kumzidi huyo kiwigi.
 
Moja kati ya eneo mashabiki wengi wamekuwa ama hawalioni au wanaona haya kulizungumzia ni nafasi ya captain odegard.
Najua amecheza zaidi ya mechi kumi za mwisho wa ligi akiwa na maumivu na hakufanyiwa upasuaji kwa kuhofia kuongeza idadi ya majeruhi.

Ila jamaa ni weak spot yetu tunapohangaika kutengeneza a complete article.ukiwa unacheza na mid-table teams huwezi ona hii shida ila ukikutana na team ambazo ni paceable, transitional monsters na ziko physical basi jamaa Huwa anatukaba mnooo.

Huyu anatakiwa kuletewa mtu haswa kwenye nafasi yake ili yeye abaki kucheza pale mazingira ya mechi yanapo "compliment"

Kama una mechi ya vita haswa,Niamini Mimi ode anatakiwa aingie kama sub tu.kama ni mtu wa mpira utaelewa nachozungumza.Ukitumia TAKWIMU kama baseline ya kumtetea you will get it all na kuna muda unaweza hisi ni pirlo dimbani ila huyu kama tunataka ubingwa next season inabidi awe sehemu ya timu tu
Fact, lakini kwa muonekano wa kawaida ni mchezaji anayependwa na mashabiki ila kiuhalisia haipi timu balance ya ushambuliaji, sidhani kama Arsenal wanaweza kusajili mtu kwenye eneo hili sababu kuna ujio wa vijana wa Academy Nwaneri na Max dowman
 
Suala la majeruhi nadhani sio peke yenu mliathirika, tafuteni sababu nyingine ya kumtetea Arteta wenu.
Shukuruni kwa hat trick ya runner up, inatosha.
Suala la kumkosa Jesus na havertz kwa wakati mmoja unadhani ni jambo dogo? hapo sijazungumzia wachezaji wengine, timu kama Spurs walipata majeruhi ila wamemaliza nafasi ya ngapi, vipi kuhusu Man City na Man united? Isiwe kila wakati mnatanguliza mahaba ya ushabiki, kuna wakati unaipa akili nafasi ifanye kazi hata kidogo.
 
Mnahamisha magoli kila uchwao!
Wakati mnazidiwa pointi chache sana na city na sasa liverpool utetezi wenu ulikuwa maamuzi ya marefarii ndio imekuwa sababu. Leo hii baada ya kupigwa gap kubwa la pointi mmehamia kwenye suala la majeruhi.

Man utd iko kwenye declining mode huwezi kuilinganisha na Arsenal iliyokuwa na consistency ya karibu misimu 3 nyuma plus majeruhi ya key players, City ana kikosi kimechoka kiumri plus majeruhi ya key players lakini bado mmemzidi point 3!

Hoja ya singi inabaki kuwa hamkuwa wala hamko karibu kuchukua ubingwa wa EPL angalau ungesemea UCL ambayo mmefurukuta kufikia nusu fainali.
 
Kwa sasa hakuna kocha bora duniani kumzidi Tetea Kiwigi, ukibisha huna akili.
Tetea Kiwigi kavunja rekodi ya kua binaadamu pekee aliebeba community shields nyingi kuliko mtu yoyote kwenye historia ya soka hapa Ulimwenguni.
images-11.jpg
images-9.jpg
 
Mnahamisha magoli kila uchwao!
Wakati mnazidiwa pointi chache sana na city na sasa liverpool utetezi wenu ulikuwa maamuzi ya marefarii ndio imekuwa sababu. Leo hii baada ya kupigwa gap kubwa la pointi mmehamia kwenye suala la majeruhi.

Man utd iko kwenye declining mode huwezi kuilinganisha na Arsenal iliyokuwa na consistency ya karibu misimu 3 nyuma plus majeruhi ya key players, City ana kikosi kimechoka kiumri plus majeruhi ya key players lakini bado mmemzidi point 3!

Hoja ya singi inabaki kuwa hamkuwa wala hamko karibu kuchukua ubingwa wa EPL angalau ungesemea UCL ambayo mmefurukuta kufikia nusu fainali.
Kwa hiyo point yako ni ipi sasa? mimi nimekubali majeruhi sio tatizo
 
Kwa sasa hakuna kocha bora duniani kumzidi Tetea Kiwigi, ukibisha huna akili.
Tetea Kiwigi kavunja rekodi ya kua binaadamu pekee aliebeba community shields nyingi kuliko mtu yoyote kwenye historia ya soka hapa Ulimwenguni. View attachment 3347283View attachment 3347284
Uzuri hali halisi ya timu yako unaijua. Endelea kujipa furaha hapa kwetu
Najua unapitia kipindi gani ndugu yangu
 
Suala la majeruhi nadhani sio peke yenu mliathirika, tafuteni sababu nyingine ya kumtetea Arteta wenu.
Shukuruni kwa hat trick ya runner up, inatosha.
Kuna suala la dhulma za waamuzi pia. Points 12 tumepoteza kwa dhulma sa marefa wenye njama dhidi yetu msimu huu. Tunaweza kudai kuwa tungezipata hizi points 12 .... huenda tungekuwa mabingwa....😀
 
Moja kati ya eneo mashabiki wengi wamekuwa ama hawalioni au wanaona haya kulizungumzia ni nafasi ya captain odegard.
Najua amecheza zaidi ya mechi kumi za mwisho wa ligi akiwa na maumivu na hakufanyiwa upasuaji kwa kuhofia kuongeza idadi ya majeruhi.

Ila jamaa ni weak spot yetu tunapohangaika kutengeneza a complete article.ukiwa unacheza na mid-table teams huwezi ona hii shida ila ukikutana na team ambazo ni paceable, transitional monsters na ziko physical basi jamaa Huwa anatukaba mnooo.

Huyu anatakiwa kuletewa mtu haswa kwenye nafasi yake ili yeye abaki kucheza pale mazingira ya mechi yanapo "compliment"

Kama una mechi ya vita haswa,Niamini Mimi ode anatakiwa aingie kama sub tu.kama ni mtu wa mpira utaelewa nachozungumza.Ukitumia TAKWIMU kama baseline ya kumtetea you will get it all na kuna muda unaweza hisi ni pirlo dimbani ila huyu kama tunataka ubingwa next season inabidi awe sehemu ya timu tu
Brother mimi hili nililiona toka bado anaimbwa sana na watu wengi,kwenye level tuliyofika yeye anatukaba kwenye maeneo mengi sana,yeye anasababisha tunakuwa predictable sana huyu arteta akicheza anaweza akasababisha tusifike malengo yetu,anajuhudi sana lakin kwenye creativity,tight space kwenye mechi kubwa naona bado sana
 
Unawatazama strikers walioko sokoni,
Unajiuliza sababu kuu ya sisi kukosa kombe lolote la maana msimu huu jibu linakuja kwa haraka majeruhi,ila baada ya muda unasikia sauti ya utulivu kabisa ndani yako ikikwambia "mshambuliaji"

Kwanza unaleta ubishi kwa kuangalia namna tulivyoathiriwa na majeruhi ya defenders,strikers tulionao,wings na hata viungo na jinsi walivyotuathiri kwa kukaa nje muda mrefu na unahitimisha kwa kusema " majeruhi" ni chanzo.

Kisha ghafla katika kufikiri unakumbuka Bayern kachukua ubingwa ana harry cane,
Inter wako final UEFA na lautaro
Barcelona Wana kombe na lewandowsk.
Liverpool Wana Salah japo sio natural striker.unafikiri na unajiuliza mwenyewe hivi kweli tatizo ni majeruhi tu au ubutu wa safu ya ushambuliaji.

Unawazaaaa ila unaamua kupotezea kwa kusubiri mechi ya fainali ya UEFA.Next season is loading

Same owner
Same players
Same coach
Same stadium
Same fans
Same attitude
Same love for our team.

Anything will change? Muda utaongea
lakin kingine pia hata martineli sio first eleven tena,brother sio finisher kabisaa
 
Back
Top Bottom