HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,643
- 7,073
Magoli yakapungua tukaendelea na open play goals. Hoja yako ni kuwa timu lazima zifosi njia za kupata magoli. Nikakuambia hata Arsenal inajua hilo na njia moja ya kufosi baada ya kuona wapinzani wako radhi kutupa kona kuliko kutuachia kushoot, tukabuni namna ya kuzitumia vilivyo hizo kona ili kupata magoli. Mbinu hii ikatubeba.Kona zilipofeli what happened?
Timu ika seize.
Hakuna bingwa wa namna hiyo.
Kuhusu kona kufeli, kumbuka pia tulipoteza Havertz, Merino, Gabriel na Calafiori kwa vipindi virefu tu na kwa nyakati tofauti. Unajua hao nao walikuwa na mchango mkubwa tu kwenye kona zetu?