Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Inter kakaza msuli mpaka half time inakata Barca kapiga on target moja.

Sasa Barca wakirudi wataanza kushoot nje ya box
 
Inter na barca wote nyuma wapo wazi, na wote wanaombea psg apite ili fainal iwe nyepesi
Sikumbuki ni lini mara ya mwisho tunaruhusu goal tatu ndani ya mchezo mmoja

Hii uefa yetu
 
Hii offside trap wanayoifanya Barca leo walimfanyia Madrid.

Alifurukuta siku ile kila akiscore offside dadeki
 
Kwa haraka haraka msimu ujao anahitajika mrithi wa partey wa kueleweka, namba 9 wakumaliza na goal 20-30 kwa msimu pamoja na winga mzuri anayeweza kuua winga zote
Wasipokuja hao watu tuhesabu kilio cha utrophyless once again
 
Hawa watu wanaongea humu kama walevi eti fainali sisi na inter alafu inter barca wote wanamtaka psg ili fainali iwe nyepesi inawezekana hawa arsenal fans kuna kilevi kingingine kikali kimeingia mjini wanakitumia maana sio kwa analysis zao hizi aisee mtu kakupiga kwako alafu anafikiria anaweza mfanyia comeback na yupo kwake really ukiwauliza nini kinawapa matumaini utaskia partey karudi

Hawa watu leo wanaweza kujinyonga seriously
 
We tuache tufanye yetu. Inter vs Arsenal UCL Final
 
Kamati ya roho mbaya, kazee kenu kanazeeka na roho mbaya yake.
Nilikuaga najiuliza kwanini haka kazee hua hakanenepi?

#Arsenalia Fc
1746610449331.jpg
 
City iliona mambo hayaendi. January akatumia 250M ili apate nafasi ya kucheza CL.

Arsenal tukaona mambo hayaendi. Ili kushindania kombe la ligi na CL hatukusajili mchezaji yeyote January
Kwa OIL MONEY kila kitu kinawezekana
 
Back
Top Bottom