Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,494
- 235,182
Nimelia sana😹😹😹Reshape miaka 7… uzuriii wa false hopes huwa haziiishi mpaka mnazeeka .
Just imagine halland, foden, elliot, trent wamezaliwa wakanyonya wakacheza under 5, under 10 na under 15 lakini wana makombe mengi wamenyanyua kuliko uliyotazama arsenal akinyanyua.
Nasema uongo ndugu zangu wa supercomputer??😂😂