Mimi siyo shabiki wa Arsenal, lakini nataka washinde kwa sababu nadhani wanastahili. Timu yao ni nzuri na Arteta kafanya kazi nzuri sana. Tatizo ni lao kubwa ni kutokuwa na striker na pia timu yao haina wigo mkubwa wa wachezaji.Inter vs arsenal fainali
Nili tabiri kuwa inter vs arsenal fainali, inter tayari subiri arsenal amalizie kazi.Tumeshatoka,tumeenda tu kukamilisha ratiba Paris.
arsenal ana shinda leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Maneno yapi hayo ya akiba unayotanitaka niyaweke?
Au unakusudia yale maneno yako ya akiba ya zile picha zilizoanza kuvuja? View attachment 3327141
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Labda kama unamaanisha anashinda njaa.arsenal ana shinda leo
tusubiri game uanze, taarab nyingi hazi fai[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Labda kama unamaanisha anashinda njaa.
Mkuu itakua wewe ni mgeni wa Arsenalia kwenye mechi ambazo zina pressure kubwa.
Kama tulipata ushindi bernabeu na uwanja ulifungwa kwa juu, mm nakushauri uzimalize maneno yote[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Maneno yapi hayo ya akiba unayotanitaka niyaweke?
Au unakusudia yale maneno yako ya akiba ya zile picha zilizoanza kuvuja? View attachment 3327141
Na wamestaajabu kweli, 😂😂😂😂😂Mpira ni mchezo wa wazi.
Mapungufu ya kushindwa kuicheza kona yametugharimu.
Na ukitoa hayo magoli yao mawili ya kona unafikiri kuna kitu gani walichonizidi?
Mda wote nawashambiulia.
Lamine anapindua anavyotaka.
Second leg watu watastaajabu sana.
Thubutuuu, 😂😂😂😂