Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,119
- 6,195
Sasa naelewa kua arsenal kufika hapo alipo ni ng'ombe juu ya mti
Ni masikitiko mkuu asenyoo ni kikundi cha wahuni wala ngada wa uingereza.alafu kumbe notinham ana uefa
Yupo BAHATI BUKUKU Mbona yupo tu anaimba kwa nni wasimchukueAnachokosa leo arsenal ni bahati tu
Mbona aUmeona chances walizopoteza? Zile iwe Barca au Inter pale hawakuachi salama
😀😀😀😀 45 c nyingii maliziaa tu ulale ukijuaa matokeo Yako ,usiachee kiporooo
Ila scars Jana ulinichekesha Sana. Baada ya goli la Raphina ukaamua kwenda kulala. Unaamka saa Tatu asubuhi kuchek notification unashangaa inter 4-3😆😆
Nalala kupoza maumivu ndugu yangu, bila hivyo mtanipoteza mkose umbea.
😀😀😀😀😀 Tupoo hapaa liveee usiondokee,Bado naamini arsenal atapindua meza
vijana wanafeli sana hadi notinham anamshindaNi masikitiko mkuu asenyoo ni kikundi cha wahuni wala ngada wa uingereza.
Bila shaka ww ni shabiki wa cheltako, acha kumfananisha matinell na vitu vya kijingaHauwezi kubeba Uefa ukitegemea winga matinelli anayezidiwa na madueke.
vijana wanafeli sana hadi notinham anamshindaNi masikitiko mkuu asenyoo ni kikundi cha wahuni wala ngada wa uingereza.
Matinelli anakimbia kama kabeba jiwe mgongoni ndo wa kufananisha na madueke!Bila shaka ww ni shabiki wa cheltako, acha kumfananisha matinell na vitu vya kijinga
Ngoja tusubiri comebackvijana wanafeli sana hadi notinham anamshinda
Sisi hatushootaggregate isipokuwa 4-2 au 4-3 kama jana sijui