Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,029
Sorry sijaipenda hiyo MOTTO yako,imekaa kimagamba sana.Big up Gunners!!! mpaka watukubali waliotubeza TUNAWEZA, TUMETHUBU NA TUNAZIDI KUSONGA JUU KILELENI
Sorry sijaipenda hiyo MOTTO yako,imekaa kimagamba sana.Big up Gunners!!! mpaka watukubali waliotubeza TUNAWEZA, TUMETHUBU NA TUNAZIDI KUSONGA JUU KILELENI
Kweli mkuu,na pts 7 tu toka wa pili.Hongereni sana WASHIKA BUNDUKI wenzangu......Hakika tunatia matumaini kwa sasa,ushindi wa mechi 5 mfululizo kwenye EPL si haba....
Mdogo mdogo tunaenda kileleni....
Arsenal: Together We Stand....
Wakulu mpo?
Arsenal dhidi ya B Dortmund
I hope Mario Gotze atajiunga nasi dirisha dogo januari,halafu Wenger afanye kila jinsi tumpate podolski aje ampunguzie kazi RVP.
huyo dogo mario gotze mikosi!yaani hayo mawazo yako tukiongeza na kiungo mkabaji ambaye kazi yake inakuwa kuharibu mipango ya timu pinzani!!!arsenal hatukamatiki labda katika mataa ya surrender na kutuovertake huwezi!tuwe nyumbani au ugenini wapinzani watakuwa wanachezea tu!