hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 5,470
- 12,002
Nimekuelewa bro.Bro.
Nyinyi SIYO dhaifu.
You don't understand. Ngoja nifue
Inter anaweza kupindua meza lolote linawezekana.
This is football.
Nimekuelewa bro.Bro.
Nyinyi SIYO dhaifu.
You don't understand. Ngoja nifue
4 games
PSG vs Villa home and away
PSG vs Loserfools home and away
Loserfools away won 1 - 0 goli la jioni. Home lost 1 - 0
Villa away were defeated 3 - 0. Home they won 3 - 2
Ni kivipi Villa walimanage kuscore magoli 3? Aliyechukua kombe England, Loserfools, akiwa nyumbani couldn't do that. What happened?
Loserfools walishinda first leg, second leg opted same route waliyopita nayo first leg. Absorb pressure, Dembele disappointed them kwa goli la mapema la dakika ya 12. Loserfools reacted but luck was never by their side.
Three big chances, na zote wakamiss.
Njoo kwa Villa, first leg wakafungwa 3. Second leg mapema tu dakika ya 11 PSG wanapata goli la kwanza. Villa reacted, ikawapa 6 big chances ambazo 5 wakamiss ila wakascore magoli 3 PSG wakapata mawili.
I think attitude determined kila kitu kwenye game na PSG, Loserfools wakiwa away walicheza kama underdog ila home right after goli la mapema la Dembele wakaopt different tactic. But tangu mwanzo attitude ilikua kulinda ushindi.
Villa second leg ilikua hawana cha kupoteza so they went all out. Dignity ilishakua tainted Paris so hawakua na cha kupoteza. Their attitude gave them three goals, forward yao plus Rogers na McGinn wote wakawa focused na shooting.
Second leg against PSG inabidi tuache tabia mbili tatu unnecessary sideway passes, hesitation kwenye kushoot, CMs kusambaratika. Nashindwa sema Partey angekuepo ingetubeba kwakua tulikua shit kwenye kucapitalize chances, hii haihusiani na Partey.
Tukutane tena
4 games
Haujui kitu1 Yamal = 100 Saka

Ufue??? Ndio mana una utoto mwingi. Kumbe unaweza kuwa mtoto wng kbs wewe.Bro.
Nyinyi SIYO dhaifu.
You don't understand. Ngoja nifue
Kufua na umri vinaingiliana kweli?Ufue??? Ndio mana una utoto mwingi. Kumbe unaweza kuwa mtoto wng kbs wewe.
Ukikua utaelewa ila kwa sasa,We siwezi kubishana na ww tena.Kufua na umri vinaingiliana kweli?
Mtoto wako mkubwa ana umri gani?
Watoto ndiyo mnabishana.We siwezi kubishana na ww tena.
Nendeni mkawafundishe Loserfools waliotolewaKaribuni leo mshuhudie mechi yenye ufundi mwingi toka kwa vijana wa tactician, bishoo wa comebacks za kibabe, bingwa mpya kwa mwaka 2027 AMORIN.
Karibuni matofalini mjifunze jinsi ya kucheza mechi za mtoano.
Nafikiri hii timu ya wanaume haipendi mambo ya kupindua meza ugenini. Ni vizuri tuwacharaze za kutosha huku huku kwetu kwanza.
Hamna ubavu wa kuchuana na psg asenyetoz ,ninyi ni loosers ,UEFA haibebwi na loosersWatoto ndiyo mnabishana.
Mimi najaribu kujenga hoja.
Kwa hii text yako nilichonacho cha kukwambia ni "Funga mlango wakati unatoka"
Sijaona timu very immature kama hii Bilbao

Kwenye sala zenu ombeni sana dua Man Utd na Chelsea tusibebe kombe, la sivyo hili jukwaa la Arsenyo Queens litapitia dhahama kubwa sana mpaka nimejikuta nimeanza kuwahurumia.