Hakika umesema kweli mkuuu nimekuelwa maaana mpka kipa anakuja kupiga fauloHana wachezaji wenye Quality ya akina Pedri mkuu.
Hila za Refa zitashindwa 😆[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Zile rafu alizokua anacheza Timbulo hakustahili kumaliza dakika 45 bila ya kula umeme, yaani Kvicha alichokua anamfanyia ni sawa na mama Fatuma anavyo vigeuzaga geuzaga vitumbua na spoku.
Mkuuu Flano umenichekesh sna eti Timbulo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Zile rafu alizokua anacheza Timbulo hakustahili kumaliza dakika 45 bila ya kula umeme, yaani Kvicha alichokua anamfanyia ni sawa na mama Fatuma anavyo vigeuzaga geuzaga vitumbua na spoku.
Tupo nyumbani game imeshakua ngumu. Tuwe makini sanaHii game ishakua na ushindi mwembamba kwa arsenal
Plan B ya arsenal itakua kuimwaga sare
Bado sana.. tunawaweka 3-1Tupo nyumbani game imeshakua ngumu. Tuwe makini sana