Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

We pimbi unatokea mtaa gani? Nisijejisumbua kukujibu kumbe shabiki la city
1000053353.jpg
 
Mwanetu kama ulituhakikishia mnashinda na umeongozwa mara tatu nyumbani kwako unadhani mi nitakua na neno
Mpira ni mchezo wa wazi.

Mapungufu ya kushindwa kuicheza kona yametugharimu.

Na ukitoa hayo magoli yao mawili ya kona unafikiri kuna kitu gani walichonizidi?

Mda wote nawashambiulia.

Lamine anapindua anavyotaka.

Second leg watu watastaajabu sana.
 
Sisi pia takwimu zilikua upande wetu ila wakapata penati moja tu na story ikabadilika.

Kwa timu ya Italy stats na flair siyo ishu. Ubao unachosema ndiyo kinamatter
 
4 games

PSG vs Villa home and away
PSG vs Loserfools home and away
Loserfools away won 1 - 0 goli la jioni. Home lost 1 - 0
Villa away were defeated 3 - 0. Home they won 3 - 2

Ni kivipi Villa walimanage kuscore magoli 3? Aliyechukua kombe England, Loserfools, akiwa nyumbani couldn't do that. What happened?

Loserfools walishinda first leg, second leg opted same route waliyopita nayo first leg. Absorb pressure, Dembele disappointed them kwa goli la mapema la dakika ya 12. Loserfools reacted but luck was never by their side.

Three big chances, na zote wakamiss.

Njoo kwa Villa, first leg wakafungwa 3. Second leg mapema tu dakika ya 11 PSG wanapata goli la kwanza. Villa reacted, ikawapa 6 big chances ambazo 5 wakamiss ila wakascore magoli 3 PSG wakapata mawili.

I think attitude determined kila kitu kwenye game na PSG, Loserfools wakiwa away walicheza kama underdog ila home right after goli la mapema la Dembele wakaopt different tactic. But tangu mwanzo attitude ilikua kulinda ushindi.

Villa second leg ilikua hawana cha kupoteza so they went all out. Dignity ilishakua tainted Paris so hawakua na cha kupoteza. Their attitude gave them three goals, forward yao plus Rogers na McGinn wote wakawa focused na shooting.

Second leg against PSG inabidi tuache tabia mbili tatu unnecessary sideway passes, hesitation kwenye kushoot, CMs kusambaratika. Nashindwa sema Partey angekuepo ingetubeba kwakua tulikua shit kwenye kucapitalize chances, hii haihusiani na Partey.

Tukutane tena
 
Aah aah.

Unanifurahisha.

Kwahiyo uko Italy kwa ulivyoangalia game ya leo umejihakikishia kabisa Inter akipata goli(magoli) Barcelona atashindwa kabisa kupata?
 
Inavyoonekana fainali ni Arsenal vs Inter milan
Arsenyani shida yenu ni kujipea sana kipaumbele kwa mambo yasiyowahusu, ndio maana takwimu zinaonesha mashabiki wa Arsenyau ndio wanaongoza kwa kuishi na stress hapa duniani, pia takwimu zinaonesha ndio mashabiki wanaoongoza kwa kucommits suicide.
Punguzeni kujipea kipaumbele kwa mambo ambayo si yenu ili muishi kwa amani na afya tele kama mashabiki wa Man Utd.
1714323272847.jpg
 
Aah aah.

Unanifurahisha.

Kwahiyo uko Italy kwa ulivyoangalia game ya leo umejihakikishia kabisa Inter akipata goli(magoli) Barcelona atashindwa kabisa kupata?
Hii front three haikutoboa kwa Celtic. Mkifungwa na Inter hakuna atayeshangaa.

Screenshot_2025-05-01-07-39-27-945_com.android.chrome-edit.jpg
 
Hii front three haikutoboa kwa Celtic. Mkifungwa na Inter hakuna atayeshangaa.

View attachment 3321448
Kwa mpira upi wa Inter?

Wa kutegemea kona ziwaokoe?

Mda wote wanachezeshwa nusu uwanja na kutafutwa na watoto wadogo mpaka wanatia huruma.

Halafu unaongelea Celtic timu ambayo imenifunga mara moja nimeifunga mara 8.

Niwashafunga celtic mpaka 7-0
Screenshot_20250501-074816_Chrome.jpg
Screenshot_20250501-074833_Chrome.jpg
 
Kwa mpira upi wa Inter?

Wa kutegemea kona ziwaokoe?

Mda wote wanachezeshwa nusu uwanja na kutafutwa na watoto wadogo mpaka wanatia huruma.

Halafu unaongelea Celtic timu ambayo imenifunga mara moja nimeifunga mara 8.

Niwashafunga celtic mpaka 7-0
View attachment 3321457View attachment 3321458
You don't understand.

Mimi naongelea quality ya timu iliyofungwa na Celtic dhaifu.

Wewe umeleta record yenu yote dhidi ya Celtic ambayo ni ya ukweli. Ambayo inacement ninacholenga zaidi, kwamba Celtic ni dhaifu ila waliifunga hii Barcelona.

Angalia stats za hiyo mechi ndiyo uzidi kuelewa ninachomaanisha, narudia kusema ikiwa hiyo Barcelona succumbed to that Celtic hata wakina Szczesny wakifungwa na Inter haitakua jambo la ajabu.
 
4 games

PSG vs Villa home and away
PSG vs Loserfools home and away
Loserfools away won 1 - 0 goli la jioni. Home lost 1 - 0
Villa away were defeated 3 - 0. Home they won 3 - 2

Ni kivipi Villa walimanage kuscore magoli 3? Aliyechukua kombe England, Loserfools, akiwa nyumbani couldn't do that. What happened?

Loserfools walishinda first leg, second leg opted same route waliyopita nayo first leg. Absorb pressure, Dembele disappointed them kwa goli la mapema la dakika ya 12. Loserfools reacted but luck was never by their side.

Three big chances, na zote wakamiss.

Njoo kwa Villa, first leg wakafungwa 3. Second leg mapema tu dakika ya 11 PSG wanapata goli la kwanza. Villa reacted, ikawapa 6 big chances ambazo 5 wakamiss ila wakascore magoli 3 PSG wakapata mawili.

I think attitude determined kila kitu kwenye game na PSG, Loserfools wakiwa away walicheza kama underdog ila home right after goli la mapema la Dembele wakaopt different tactic. But tangu mwanzo attitude ilikua kulinda ushindi.

Villa second leg ilikua hawana cha kupoteza so they went all out. Dignity ilishakua tainted Paris so hawakua na cha kupoteza. Their attitude gave them three goals, forward yao plus Rogers na McGinn wote wakawa focused na shooting.

Second leg against PSG inabidi tuache tabia mbili tatu unnecessary sideway passes, hesitation kwenye kushoot, CMs kusambaratika. Nashindwa sema Partey angekuepo ingetubeba kwakua tulikua shit kwenye kucapitalize chances, hii haihusiani na Partey.

Tukutane tena
1000053375.jpg

Kwenye mpira inawezekana sio jambo la ajabu.

Saudi Arabia aliifunga Argentina yenye Messi kwenye kombe la dunia!

Kati ya Inter na Barca nani dhaifu?

Kama sisi ni dhaifu kwa logic yako ya celtic na Barca pia tunaweza kuwatoa Inter ambayo ni strong.

Otherwise uniambie Inter ndio dhaifu na sisi ni strong.
 
Arsenyani shida yenu ni kujipea sana kipaumbele kwa mambo yasiyowahusu, ndio maana takwimu zinaonesha mashabiki wa Arsenyau ndio wanaongoza kwa kuishi na stress hapa duniani, pia takwimu zinaonesha ndio mashabiki wanaoongoza kwa kucommits suicide.
Punguzeni kujipea kipaumbele kwa mambo ambayo si yenu ili muishi kwa amani na afya tele kama mashabiki wa Man Utd.
View attachment 3321262
Psg anakufa kwanye nyingi.

Itunze hii risiti
 
Kwenye mpira inawezekana sio jambo la ajabu.

Saudi Arabia aliifunga Argentina yenye Messi kwenye kombe la dunia!

Kati ya Inter na Barca nani dhaifu?

Kama sisi ni dhaifu kwa logic yako ya celtic na Barca pia tunaweza kuwatoa Inter ambayo ni strong.

Otherwise uniambie Inter ndio dhaifu na sisi ni strong.
Bro.

Nyinyi SIYO dhaifu.

You don't understand. Ngoja nifue
 
Back
Top Bottom