Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Gazeti refu limejaa pumba na mashudu jiandaeni na msimu mpya mpira hauchezwi Kwa kuandika magazeti marefu hivi mpira uwanjani dakika 90 ambazo wewe timu lako limekosa matokeo likiwa nyumbani unaisema Liverpool ambayo imechukua ubingwa wakiwa na kocha mpya ambao wewe Kila msimu unahema huna kombe unalobeba kazi kujipanga na msimu mpya hivi unaakili timamu kweli we mzee
 
Dah wazee mnawapiga spana Kila KonaπŸ˜„πŸ˜„
 
Ukiachana paragraph ya mwisho, hizo zingine zote tupo pamoja

Paragraph ya mwisho, laiti partey angekuwepo ata lile goal psg wasingepata, dembele alipita kati free kabisa akatoa mali then akajipositio free kabisa

Kutokuwepo kwa partey ilimfanya saka ashuke sana chini, rice ameteseka sana

Kutokuwepo kwa partey, psg walituwin pale kati (midfield yote)

Kutokuwepo kwa partey tulifanya beki zetu ziwe exposed kirahisi sana

Rice ali-mind sana partey alivyokula njano kule bernabeu coz aliona mbali
 
Kwahiyo tufute goli kisa partey hakuwepo kwahiyo mlicheza pungufu hamkuwa 11 hahaha watu wameshachanganyikiwa hukuuu🀣🀣🀣🀣
 
Castr napata imani wewe ni hamis77 ila umeamua kuongea kwa kupooza kidogo.
Kama sio, basi mnaishi mtaa mmoja au ni classmates.
Prove me wrong bro.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Castr kumfananisha na Masingeli ni kumuonea tu, kama ulikua unamfatilia tokea kipindi cha nyuma Castr alikua anampinga masingeli waziwazi humu, huyu jamaa mpaka chawa za Masingeli zilikua zinamuwekea bifu humu na kumuona kama msaliti kwa jinsi walivyokua wanatofautiana nae kwenye mitazamo juu ya Tetea na Kai kiazi wake.
 
PSG iliyofungwa 3 na Villa ni PSG ambayo iliomba isicheze mechi yoyote kwa week nzima ili ijiandae dhidi ya mechi na Villa.

Hii ni PSG ambayo inaaminiwa kumtoa Arsenal [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Tunaanza circle tena.

Mwanzo ilikua Madrid atawatoa. Akafa 3.

Ikaahidiwa comeback for a week.

Madrid kafa tena.

Wameanza ujinga wa kusema PSG atatukomesha.

These fools never learn
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…