Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kama unataka kuangalia highlights ya hili game, bc hakikisha huangalii kupitia Akaunt za fans wa arsenal Au arsenal wnyw mana wataficha Unyama wa psg hasa wa Donna 😂
 
Kuwapiga hawa tutawapiga tu.
Hamna huo uwezo it's very clear mbona mapenz yatakutesa shida watu wana relay kweny game ya Madrid hao ni wabovu kuwapiga sio kujiweka fake fantasy kuwa mshabeba kombe noo wame bondwa 4-0 3-2 5-2 na Barcelona aggregate 12-4 si mmepiga bomu mochwari

Hawa psg mkiwatoa sasa hapo ndio mtu unaweza sema nime mtoa mtu na sio mgonjwa
 
Kwisha habari yenu 😃 😃 😃 😃 😃 😃 😃 😃 😃 😃 😃 😃 😃 😃 😃 😃 😃 😃 😃 😃 😃 😃
 
Hahaha

Hakuna cha GG wala over 1.5

Anyways, we gave our best. Tulicreate chances ila forwards zetu miyeyusho.

Martinelli auzwe, Trossard alisema anataka kuondoka aachwe aende.

Difference maker kwenye hii mechi wamekua ni forwards.

WeMove
 
Game ijayo mkicheza kama mlivyocheza kwa madrid mnakula sio chini ya 3 kule kama mkitaka kweli kuonyesha nyie ndio best msiende ku park bus ingieni kiume fungukeni kama mnavyojisifu psg wakifunguka wataoga nyingi kawaogesheni si tunataka magoli wawekezaji huku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom