Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani kwa rafu zote mnazocheza na penalty ya wazi walionyimwa Psg, Arsenyau bado wanalalamika kua refa yupo dhidi yao[emoji16][emoji16][emoji16]
Lakini hujui kitu kuhusu mpira. Utaelewa kweli?
 
Hii game ishakua na ushindi mwembamba kwa arsenal

Plan B ya arsenal itakua kuimwaga sare
 
Yule linesman alikuwepo mita moja kutoka eneo la tukio lakini bado akasema Saka kacheza faulo. Ingekuwa EPL ningesema ni chuki ila huyu itakuwa ana stress zake tu.
 
Bado game iko wazi kwa arsenal advantage ya nyumbani atmosphere imewa motivate dakika za mwishon wajaribu japo kitu na kwa asilimia zake ineonyesha matumaini ya kupindua meza leo kama kawaida wazee wa GG Tunasubiri jambo letu tulijua psg hawez kosa goli kamwe bado wazee wangu hawa wamalizie jambo
 
Misplaced passes zimekua nyingi. Tunapata mipira maeneo sahihi ila tunashindwa kutumia nafasi.
Martinelli dah!

Sawa, into the 2nd half.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani kwa rafu zote mnazocheza na penalty ya wazi walionyimwa Psg, Arsenyau bado wanalalamika kua refa yupo dhidi yao[emoji16][emoji16][emoji16]
Wajinga sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom