Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal women kufika fainali CL ni hot topic kuliko ubingwa wa EPL.

Ndiyo sababu wanakasirika wanatulazimisha tuwaacknowledge kwamba wapo
 
Arsenal women kufika fainali CL ni hot topic kuliko ubingwa we EPL.

Ndiyo sababu wanakasirika wanatulazimisha tuwaacknowledge kwamba wapo
Hao waache tu. Wanafikiri sisi hatuna vyetu vya kusherekea na kufurahia . Kesho timu ya wanaume nayo inaingia fainali na tutafurahia na hilo pia.
 
Mbona makasiriko mama, sis huku timu zetu zote mbili zinaelekea kwenye climax ya kutupa furaha kubwa sana kiasi kwamba vilabu vingine vyote vitatuonea wivu.

Vuta picha hilo parade lake litakavyokuwa baada ya timu zote mbili kutawazwa wafalme wapya wa ulaya.... vibe lake ni zaidi ya hicho kiEPL mlichochukua kwa msaada wa PGMOL

Nyie timu yenu ya wanawake(liverpool women) haijawahi hata kushiriki WCL na ndio maana huna habari nayo.
ENGLAND kombe la heshima ni EPL ndio maana liverpool tuna uefa nying lakn heshima haipo
 
ENGLAND kombe la heshima ni EPL ndio maana liverpool tuna uefa nying lakn heshima haipo
Arsenal hatuna changamoto na domestic trophies.

International ndiyo kwa moto.

Pia nyinyi mtani wenu wa jadi ndiye alikua anawakosesha usingizi kwa domestic trophies wakati sisi mtani wetu wa jadi hatusumbui domestic wala international
 
Battle between arsenal vs psg is a battle of speed. Martinel na saka hii ni game yao [emoji817]

Ukirud kwenye Historia katia ya arsenal na psg tunachukua ushindi wa mezani asubuhi tu
IMG-20250312-WA0007.jpg
 
Arteta: “The players feel: ‘Yeah, we can face these guys and be better than them’. That is the feeling we had against Madrid. That is how we feel today. I look in their eyes and they can’t wait to play tomorrow.” #AFC

Psg is in big trouble
IMG-20250424-WA0000.jpg
 
Online kuna debate imepamba moto.

Watu wanadebate ikiwa watu wazima 100 wanaweza kumpiga sokwe mmoja.

Entirely overlooking kuna timu imeshinda kombe la ligi
 
Online kuna debate imepamba moto.

Watu wanadebate ikiwa watu wazima 100 wanaweza kumpiga sokwe mmoja.

Entirely overlooking kuna timu imeshinda kombe la ligi
Chief unamwili ambao nyongo yake haijafungwa vizuri, jambo kidogo ishamwagika.
Naona bado roho inakuuma. unadhani unadeserve ile nafasi?
Gape la pts 15 na bado tuliaminishwa ninyi ni macontender. Watu walifikisha points 97 na bado wakawa nafasi ya pili pia washafikisha point 92 na bado wakawa nafasi ya pili.
Hamna hiyo quality mnadanganyana humu ndani ndio maana watu kama kina Flano ,Labyrinth 84 , fuentte wamegeuza huu ni uzi wa kuja kuondoka stress zao za maisha.
 
No, Arsenal haideserve kombe lolote msimu huu.

Kama huu uzi unaweza kusaidia mtu kuondoa stress even better, maisha ni mafupi.

You get lost easily katika character observation. Ruka hiyo barrier.
 
Binafsi mimi sina amani kabisa kumkosa Thomas Partey,akiwepo dimbani team inabalance vizuri hata Declan Rice anakua huru kupanda kuongezea mashambulizi.Sijui nini kitatokea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom