Nyie liverpool msimu huu nawafananisha na chelsea ya wanawake.Dah badala ushangilie ushindi wa Liverpool unahangaika na mipira ya kina mama?
Chelsea anasumbua sana kwenye WSL hajapoteza game hata moja mpka sasa, halafu kaja kutolewa kwa aibu kwenye WCL kachezea aggregate ya goli 8-2 kwa barca... sasa subiri uone jeshi letu la akina Mariona Caldentey,Williamson na Alessia Russo litakavyo mnyoosha huyo barcelona fainali.
Liverpool mmetamba sana kwenye EPL na CL hatua ya awali, halafu mmekuja kutolewa kwenye CL kwa aibu na PSG timu iliyoshika nafasi ya 15 tena pale pale kwenu, sasa karibu juma nne mjifunze nyie na kocha wenu jinsi ya kumfunga PSG😅😅.