Oya wazee mnaangalia lakini hichi kichapo tunachomshushia Lyon huku?
Mama wa michuano Champions league ya wanawake?
mpaka sasaa dk 72
Lyon(W) 0-4 Arsenal(W)
Walivyotufunga mechi ya kwanza nikajua leo watatukaanga vizuri, kumbe nilikuwa nawakosea wachezaji wetu kwa kutokuwa na imani nao.
Na hii sio mara ya kwanza kuwapa kichapo cha mbwa mwizi hapo hapo kwao.
ACha tujiandae na mbabe wa michuano kwa sasa barcelona ambaye ametoka kumpa kichapo cha mbwa mwizi chelsea pale pale darajani.