Jana timu zote zilipigwa ugenini ila zikashinda nyumbani. Tatizo ni kwamba zilishindwa kusonga mbele kwenye mashindano. Tatizo lingine linaloweza kuja kwetu ni kwamba Madrid anakuwa kapata matumaini kwamba kumbe kupindua meza kunawezekana na kwamba yeye akijiboresha kidogo zaidi, anaweza kututoa. Nategemea Madrid atuletee mpira wa high energy na atukabie juu ila akikosea tukawapiga counter, tunaweza kuwamaliza kabisa. Sisi leo kazi yetu ni kuwanyima nafasi za kufunga, huku sisi tukitumia vizuri zile chache tutakazopata.
Au tuache mawazo bhanaaaa. Tuwapigie ule mpira tuliowapigia Emirates tumalize mchezo na aggregate ya 7-0.