Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hilo moja Fake Madrid wamepata washukuru.

Hawapati tena
 
Saka katoka sasa, kaingia Trossard

Na dakika nazo zinafika 80

Lakini nawakumbusha pia ni jumla ya golo 1 kwa 4.
 
Nawakumbusha wale wa come back.

Dakika ni ya 85 wameweza ku comeback kwa lile goli moja tu la pale Santiago.

Yale matatu bado
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom