Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,884
- 6,190
Hii tunavuka
Yacine tvWakuu, mwenye link ya kuangalia mechi hii msaada tafadhari
Tukiingia kama tulivyoingia nao last week tunaweza kufanya maajabu. Tukiingia kama na Brentford juzi tutawapa nafasi ya kutuumiza.Madrid mwanzo alitest kumuweka Modric.
Safari hii kamuweka Tchouamen halafu anacheza 4 2 3 1.
Tchouamen situational awareness siyo nzuri sana ila ni chance creator mzuri. Sioni akileta tofauti ya kiasi cha kumuona Modric alikua mzigo.
We are fucking winning this
Madrid napiga nje ndani, mbele nyuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyau leo Didy ana kazi na nyie.