Nitajiuliza, Hivi ni kweli tulimuachia Arsenane amkimbize Liverpool asitangazwe bingwa mapema?Nikikwambia kwamba hata mkishinda kesho unabaki ulipo utasemaje?
Mwaka mmoja au kumi mbele itawekwa kwenye rekodi kwamba Arsenal, ikiwa haina ST na majeruhi 5+ ilimtoa Madrid.Nitajiuliza, Hivi ni kweli tulimuachia Arsenane amkimbize Liverpool asitangazwe bingwa mapema?
inawezekana ila sidhani kama ni rahisi hivyo kwao, so sina wasiwasi kwa sasa. Tumecheza mechi nyingi tu chini ya kiwango kama jana, hivyo kushukuka kwetu kwa kiwango katika baadhi ya mechi istupotezee matumaini moja kwa moja. Tunawza kwenda Bernabeu na kuwashangaza mabingwa watetezi.What's funny ni pale J5 Madrid akigeuza kibao.
Nitacheka sana.
Mostly tunacheza below par kutokana na kuingiza wachezaji wengi ambao hua hawana game time.inawezekana ila sidhani kama ni rahisi hivyo kwao, so sina wasiwasi kwa sasa. Tumecheza mechi nyingi tu chini ya kiwango kama jana, hivyo kushukuka kwetu kwa kiwango katika baadhi ya mechi istupotezee matumaini moja kwa moja. Tunawza kwenda Bernabeu na kuwashangaza mabingwa watetezi.
Msipochukua UEFA huu mwaka, bas sahauni kabisa.Washika mitutu kazi yetu ni moja tu kulenga wote wanaokatiza..!! πΉπΉ
Chama ni moja A R S E N A L pah pah π«
Wewe bado una hasira ya kufungwa πΉπΉMsipochukua UEFA huu mwaka, bas sahauni kabisa.
Mliona sisi wana CITIES, tuliamua na tukafanya, afu ilikua Treble.
πππππ
Thubutuuu, ππππWewe bado una hasira ya kufungwa πΉπΉ
Safari hii tunawakaza kavukavu uduguu π€£
Si umeona lakini tulichowafanya City na wenzenu Madrid πΉπΉπΉThubutuuu, ππππ
ππππ nilifurahi kumnyoosha Madradaaa.Si umeona lakini tulichowafanya City na wenzenu Madrid πΉπΉπΉ
Inahusu mashabiki uchwara wa arsenane.Hii inanihusu nini mkuu?
Kuna timu zimeacha kupambania makombe siku hizi. Kitu pekee (labda) watashinda msimu huu ni kumtoa Madrid.Mwaka mmoja au kumi mbele itawekwa kwenye rekodi kwamba Arsenal, ikiwa haina ST na majeruhi 5+ ilimtoa Madrid.
Kwa muda huo itakua very inspiring. Sasa hivi kutokua na knowledge ya mpira kunawasumbua
Wewe unahisi baada ya Madrid timu gani itaizuia Arsenal?Kuna timu zimeacha kupambania makombe siku hizi. Kitu pekee (labda) watashinda msimu huu ni kumtoa Madrid.
Aston VillaWewe unahisi baada ya Madrid timu gani itaizuia Arsenal?
Sasa Aston Villa atapangua bakora alizolambwa na PSG?Aston Villa