Passenger19
JF-Expert Member
- Aug 14, 2021
- 639
- 1,062
HawanaYah, alihakikisha bet yake inashinda
View attachment 3703028
Halafu acha kutuongopea liva walikua na on target moja kama sijakosea.
HawanaYah, alihakikisha bet yake inashinda
View attachment 3703028
Halafu acha kutuongopea liva walikua na on target moja kama sijakosea.
Source?Yah, alihakikisha bet yake inashinda
View attachment 3703028
Halafu acha kutuongopea liva walikua na on target moja kama sijakosea.
Nani aliipiga hiyo on target?Yah, alihakikisha bet yake inashinda
View attachment 3703028
Halafu acha kutuongopea liva walikua na on target moja kama sijakosea.
Tutakuzika mapema sana ukiwa unakariri kila mechi lazima uondoke na 3 points ilihali matokeo huwa ni kushinda, kushindwa na suluhu/sare.Online bado mashabiki wa Liverpool wapo on fire wakisema wamecheza mpira mzuri wa burudani na wamefanya jambo zuri kuonyesha timu zingine jinsi ya kuibana Arsenal. Hivyo kwa mechi ya jana ingawa Arsenal tumechukua points 3 ila mshindi ni Liver.
Kuna shabiki amejibu na Arsenal kaonyesha timu zingine jinsi ya kuzuia liver isipate shot on target.
Hawa mashabiki wa liver wanavyotoa hoja nakumbuka chelsea tulivyosuluhu nao walivyokua wanashangilia ile suluhu na kuita ni ushindi. Siyo dalili nzuri kwa timu inayowazia makubwa.
unaandika nini hapa mzeeTutakuzika mapema sana ukiwa unakariri kila mechi lazima uondoke na 3 points ilihali matokeo huwa ni kushinda, kushindwa na suluhu/sare.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Wewe wasema.unaandika nini hapa mzee
We jamaa na United yetu mbovu sasa!Niliwahi kusema utofauti wa timu kubwa na timu ndogo ni consistency.
Sunderland ya msimu uliopita msimu huu ni nyanya mno kiasi kwamba inashika mkia huko chini.
Hii tabia ya timu ndogo ndiyo hua inasababisha timu kubwa iwe ngumu kushuka daraja.
Angalia Spurs, msimu wa 24/25 imeshika nafasi ya 17, msimu wa 25/26 imeshika nafasi ya 17 kwa points 41 halafu wa 18, Westham, amemaliza msimu na points 39. Ukienda kuangalia baadhi ya mechi alizopoteza ndiyo unaona kwanini Spurs alibaki.
Hata msimu huu, ione united pale nafasi aliyopo, ila mfunga mkia? Sunderland, ambaye alisumbua msimu uliopita mpaka ameingia Europa. So hata United inaweza isishuke daraja lakini siyo kwavile ni timu bora ni kwakua hawa watatu wa mwisho ni wabovu kuwazidi.
Nategeme maajabu ya kubaki ligi kuuWe jamaa na United yetu mbovu sasa!
Komaa na City, Liver, na chelkenge uko sisi tutoe tushajifia kitambo sana.
Kikosi kibovu na mwalimu hakuna, unategemea maajabu gani pale?