Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

arsenal akifanikwa kuingia fainali na barcelona kuna chance kubwa zaidi ya kutwaa ubingwa
 
Hawa PSG baada ya game ya jana hawana tena mechi yoyote mpaka wiki ijayo wanapokutana tena na Villa waliowapiga 3 - 1.

Wakati huo huo Villa atacheza na Soton tarehe 12 halafu tarehe 15 anatakiwa akutane na PSG kuwalipa hiki kipigo.

Huku kwingine ni Arsenal ana mechi tarehe 12 dhidi ya Brentford halafu tarehe 16 ana mechi dhidi ya Madrid. Yeye Madrid ana mechi tarehe 13 dhidi ya Deportivo Alaves halafu on 16th anatakiwa kufanya comeback dhidi ya Arsenal.

Hii ratiba inampika Villa
Sheria kikawaida mechi ukiheza Leo inatakiwa kucheza nyingine baada ya masaa 72.
 
Sheria kikawaida mechi ukiheza Leo inatakiwa kucheza nyingine baada ya masaa 72.
Hakuna sheria inayoelekeza muda wa kupumzika. Kote UEFA na FIFA.

Isipokua utaratibu unaofuatwa ni kwamba angalau mchezaji apumzike kwa saa 48-72 kabla ya kucheza mechi nyingine
 
Hawa Barcelona wanapiga mpira aisee. Natamani tukutane nao fainali ikiwezekana ili tujipime nao. Tukiwapiga tunabeba kombe na wakitupiga tunakuwa tumepata somo zuri na tumaini ni tutaboresha kikosi kwa ajili ya kupambana na upinzani wa level ile, kwa msimu ujao.
Last time tumemtoa real madrid tulienda all the way to the final tukakutana na barca, tukafungwa kwa ajili ya kadi nyekundu ya Magumashi.

Ni matumaini yangu msimu huu historia itajirudia tena ya kukutana na barca fainali, japo napata mashaka kama huyo barca atatoboa kwa inter.
 
Barcelona sio timu ya kututishia nyau hata kidogo, Barcelona bila Messi hamna sumu
Duuh!

Wewe sidhani hata kama mechi za Barcelona unaangalia.

Barcelona ya msimu huu inatisha sana sio timu rahisi kama wewe unavyodhani.

Huyo madrid mbovu mliyemfunga asiwadanganye mkajiona mna uwezo wa kuifunga Barcelona.

Huyo Madrid ambaye nyie mmemfunga 3 tena mkiwa kwenu mimi nimeshamfunga 4-0 akiwa kwao nishamfunga 5-2

Nguvu ya kuichukulia poa Barcelona sijui mnaitolea wapi!
 
𝐉𝐮𝐫𝐫𝐢𝐞𝐧 𝐓𝐢𝐦𝐛𝐞𝐫 𝐯𝐬. 𝐕𝐢𝐧í𝐜𝐢𝐮𝐬 𝐉𝐫.

Arsenal made a bold call — pushing Bukayo Saka high up the pitch and trusting Jurrien Timber to handle Vinícius Jr. 1v1. And he delivered flawlessly.

With composure, precision, and those trademark telescopic legs, Timber shut down one of the world’s most dangerous wingers. Even if you get past him once, he’s right back on you — you have to beat him twice to escape, and Vini couldn’t do it.

Let’s not forget: Timber is only 23 and just returned from an ACL injury. To come back this strong, this sharp, and this fearless — it’s simply elite.

Vinícius Jr. vs Arsenal:
goals
assists
shots on target
chances created
key passes
successful dribbles
accurate crosses

Jurrien Timber in Arsenal’s 3-0 win over Real Madrid:
◉ 𝙈𝙊𝙎𝙏 duels won – 𝟴
◉ 𝙈𝙊𝙎𝙏 tackles – 𝟯
◉ 𝟰𝟴/𝟱𝟭 passes completed
◉ 𝟱 ball recoveries

A world-class performance. Timber didn’t just pass the test — he shut the lights off on one of football’s brightest stars. View attachment 3298708
Juzi ndio nimeona kwa mara ya kwanza mashabiki wa real madrid wakimtaka carlo ancellot amfanyie Sub Vinicius mara tu baada ya kipindi cha kwanza, halafu mbappe aende kushoto wakiamini kwamba Mbappe ndio atawezana na Timber....🤣🤣

Na pia vile vile nikaona wanapondea Carlo kwa kumpanga valverde RB, baada ya Martnell kumfanya chujio na kuwakumbusha kuwa Valverde sio RB na wakati hapo kabla hao hao mashabiki walikuwa wanataka yeye ndio acheze nafasi ya RB kwa mechi zote za msimu zilizobaki...🤣🤣

Baada ya mechi sasa, Carlo out.. sijui very clueless tactically, just depends on player's individual quality and lucky, you are not my coach....yaani ilikuwa ni vituko na kuchanganyikiwa juu
 
Last time tumemtoa real madrid tulienda all the way to the final tukakutana na barca, tukafungwa kwa ajili ya kadi nyekundu ya Magumashi.

Ni matumaini yangu msimu huu historia itajirudia tena ya kukutana na barca fainali, japo napata mashaka kama huyo barca atatoboa kwa inter.
Aaah aah inter hipi ya kumfunga Barcelona?

Unachekesha.
 
Juzi ndio nimeona kwa mara ya kwanza mashabiki wa real madrid wakimtaka carlo ancellot amfanyie Sub Vinicius mara tu baada ya kipindi cha kwanza, halafu mbappe aende kushoto wakiamini kwamba Mbappe ndio atawezana na Timber....🤣🤣

Na pia vile vile nikaona wanapondea Carlo kwa kumpanga valverde RB, baada ya Martnell kumfanya chujio na kuwakumbusha kuwa Valverde sio RB na wakati hapo kabla hao hao mashabiki walikuwa wanataka yeye ndio acheze nafasi ya RB kwa mechi zote za msimu zilizobaki...🤣🤣

Baada ya mechi sasa, Carlo out.. sijui very clueless tactically, just depends on player's individual quality and lucky, you are not my coach....yaani ilikuwa ni vituko na kuchanganyikiwa juu
Huwa nikimuona Timber uwanjani nakuwa na amani sana. Ndiye beki wa kwanza kwetu ninayemuamini, akufuatwa na wengine sasa akina Saliba na Gabriel.
 
Hakuna sheria inayoelekeza muda wa kupumzika. Kote UEFA na FIFA.

Isipokua utaratibu unaofuatwa ni kwamba angalau mchezaji apumzike kwa saa 48-72 kabla ya kucheza mechi nyingine
HIYO no sheria ya Fifa na juzi tu hapo Madrid wametoka kuletea mzozo laliga kutokuheshimu sheria HIYO baada ya wao kutoka kuclash na Atletico chini ya Saa 72 wakacueze game nyngine.
 
Aaah aah inter hipi ya kumfunga Barcelona?

Unachekesha.
Hahaha... mzee huwa unawaangalia lakini Inter namna wanavyocheza?

Katika timu zote ulaya hao jamaa ndio walioweza kuipatia formation ya 3-5-2

Kwanza ni ngumu sana kupitisha through balls maana muda mwingi katikati wanakuwa na msitu wa watu, na timu kama Barcelona chances nyingi anazitengeneza kwa penetration passes za akina Pedri.

Pia ni ngumu kuwavizia kwenye transition, mara nyingi wakiwa wanashambulia, viuongo na mabeki wao wa kati wanatengeneza dynamic balance na cordinated movements ambazo inawapa urahisi wao kurudi golini kwa haraka na kuokoa shambulizi.

Pia wako vuzuri sana kufanya finishing za counter attacks, Thuram na Martnez wamekuwa wakifanya perfect interchanging hata mbele ya mabeki wanne... sasa hapa tutegemee Barcelona na high defensive line yao wakipikikwa kweli kweli.

Mpaka sasa hivi Inter ndio timu p iliyoruhusu goli chache kuliko timu zote zilizobaki, Inter wame concede goli 3 tu tangu msimu unaanza, sasa unategemea hii timu ndio utaitoa na striker wako Lewandowsky???
 
Duuh!

Wewe sidhani hata kama mechi za Barcelona unaangalia.

Barcelona ya msimu huu inatisha sana sio timu rahisi kama wewe unavyodhani.

Huyo madrid mbovu mliyemfunga asiwadanganye mkajiona mna uwezo wa kuifunga Barcelona.

Huyo Madrid ambaye nyie mmemfunga 3 tena mkiwa kwenu mimi nimeshamfunga 4-0 akiwa kwao nishamfunga 5-2

Nguvu ya kuichukulia poa Barcelona sijui mnaitolea wapi!
Timu inayocheza kimfumo haiwezi kunitisha sababu resources tunazo, kama mngekuwa na Messi, ok, naogopa tu timu yenye individual brilliance dhidi ya Arsenal lkn sijui tactics na mifumo hakuna kitu kocha wetu asichokijua, hamna jipya.
 
HIYO no sheria ya Fifa na juzi tu hapo Madrid wametoka kuletea mzozo laliga kutokuheshimu sheria HIYO baada ya wao kutoka kuclash na Atletico chini ya Saa 72 wakacueze game nyngine.
Nielewe kidogo.

Hakuna sheria. Ila ni utaratibu unaofuatwa.

Sheria ingekuepo timu nyingi zingekua zinairefer, haipo ndiyo sababu zinaishia kulalamika tu.
 
Nielewe kidogo.

Hakuna sheria. Ila ni utaratibu unaofuatwa.

Sheria ingekuepo timu nyingi zingekua zinairefer, haipo ndiyo sababu zinaishia kulalamika tu.
Fifa na PFA walipoongelea mandatory reset ya calendar walikusudia Nini.. Mana naona Madrid kagomea na wametoa msimamo wao na sijaona Laliga wakiupinga.
1744293558956.jpg

Kuna kipi hapa ?
 
Timu inayocheza kimfumo haiwezi kunitisha sababu resources tunazo, kama mngekuwa na Messi, ok, naogopa tu timu yenye individual brilliance dhidi ya Arsenal lkn sijui tactics na mifumo hakuna kitu kocha wetu asichokijua, hamna jipya.
Lamine Yamal sio individual brilliance?

Pedri sio individual brilliance au unaposema individual brilliance una maana gani?

Kocha wenu ana uwezo gani kumfikia Hansi Flick?

Hansi Flick kashanyanyua ndoo ya UEFA na Buyern kocha wenu Arteta huu mwaka wa sita hata EPL anashindwa kuwapa halafu unasema hakuna kocha wetu asichokijua!

Au kutokuwapa makombe ndo kujua kwenyewe?
 
Hahaha... mzee huwa unawaangalia lakini Inter namna wanavyocheza?

Katika timu zote ulaya hao jamaa ndio walioweza kuipatia formation ya 3-5-2

Kwanza ni ngumu sana kupitisha through balls maana muda mwingi katikati wanakuwa na msitu wa watu, na timu kama Barcelona chances nyingi anazitengeneza kwa penetration passes za akina Pedri.

Pia wako vuzuri sana kufanya finishing za counter attacks, Thuram na Martnez wamekuwa wakifanya perfect interchanging hata mbele ya mabeki wanne... sasa hapa tutegemee Barcelona na high defensive line yao wakipikikwa kweli kweli.

Mpaka sasa hivi Inter ndio timu p iliyoruhusu goli chache kuliko timu zote zilizobaki, Inter wame concede goli 3 tu tangu msimu unaanza, sasa unategemea hii timu ndio utaitoa na striker wako Lewandowsky???
Lewandowski ana goli ngapi za UEFA msimu huu?

Thuram na Martinezi wako wana goli ngapi UEFA na finishing yao nzuri kuliko ya Barca?

Unafahamu kwamba Barca ndiyo timu iliyofunga magoli mengi in UCL kuliko timu yoyote msimu huu

Unafahamu kwamba huyo unayemdharau Lewandowski ndio the second goal scorer wa UEFA msimu huu akiwa na goli 11 nyuma ya Raphina top scorer akiwa na goli 12?
 
Fifa na PFA walipoongelea mandatory reset ya calendar walikusudia Nini.. Mana naona Madrid kagomea na wametoa msimamo wao na sijaona Laliga wakiupinga.View attachment 3299159
Kuna kipi hapa ?
Si umeona hapo imetajwa tu kama 'Rule'

Na hoja yao ilikua kwamba kwakua mechi yao na Atletico ilienda extra time hii ilimaanisha badala ya 72 hours wanakua wamepumzika 66 hours.

Ila mwanzo niliandika kwamba timu inatarajiwa ipumzike angalau saa 48 - 72. So hawakupumzika saa 72 ila walishapumzika saa 48. Na kwakua siyo sheria inakua ngumu kuipinga.

La liga rule waliyonayo ni mapumziko angalau saa 48. So ingawa Carlo alilalamika alikua anapinga ishu ambayo ipo ndani ya utaratibu wao.
 
Back
Top Bottom