Leo tunawanyoa vipara kwa kutumia kigae cha chupa , mtakiona cha mtema kuni na mtakuta kuingiza hicho kikundi cha wanenguaji uwanjani leoWe just need long range shooting and we are home
Haya.Leo tunawanyoa vipara kwa kutumia kigae cha chupa , mtakiona cha mtema kuni na mtakuta kuingiza hicho kikundi cha wanenguaji uwanjani leo
Kule kwenye dini kuna mfaa, huku anatupigia kelele tu.
Maybe sababu ya pressure ya derby, game ya manyumbu dogo hakua kwenye kiwango chake tutegemee second half ataingia kuongeza nguvu kwenye ushambuliajiArteta kakosea sehemu moja tu, Nwaneri wa kuanza daima mbele ya Martinelli kwa sasa.