BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 6,417
- 12,985
Umehamia majukwaa ya dini siku hizi.Madridi kayakanyaga
Atapigwa Hadi achakae ,Madrid amezoea kukutana na timu mbovu , akikaa vibaya atakula 3+ pale Emirates kwenye kapeti la kijani
Nimebanwa na majukumu ya kazi ,Unajua unapoaminiwa unapewa kampuni kubwa uiendeshe ,mambo mengi yanasimama,Madrid ni wakwaida sana ,ukidhibiti transition zao,
Kwanza kwa kiungo gani Madrid atatoboa mbele ya mighty Arsenal hii ,?
Njoo mfarijiane hapa na wanao kina mkorea.
Flano jamaa karudi