Kumbe jana kuna mechi zilikua zinachezwa na nyinyi mmecheza. Naingia fotmob nakuta matokeo na penati za kujaza kirobaBruno Fernandez HATRICKKKKKKK
Mmelala nyie KENGE.
Jamaa Flano bwege sana...Ndugu yangu hamis77 muda mrefu sana ulikua unatamani timu yako ikutane na Real Madrid ili muioneshe dunia kua Arsenyo ndio The best team in the world interm of pressing & overloading, positional interchange na flexibility bila ya kusahau aerial duel na set pieces.
Hatimae Mungu amesikia kilio chako na kuwakutanisha na mashababi wa Don Carlo, hivyo mimi pamoja na mashabiki wengine wote humu tumeshakusamehe kwa yote uliyokua unatudanganya, tunakuomba urudi kwenye hili jukwaa tugange yajayo.
Hakika hili jukwaa si lolote si chochote bila ya zile false hopes zako, chawa zako kina mkorea na arsenal2004 walijaribu kuvaa viatu vyako lakini havijawatosha, matokeo yake wameishia kupata matege kutokana na uzito wa viatu vyako, tunakuomba ndugu yetu Masingeli urudi humu ili tuyajenge upya. View attachment 3268917
Tumaini letu ni mtamaliza angalau nafasi ya 17 ili msishuke daraja. Hatuwezi kuwaacha muangamie hivi hivi na nyie ndiyo mahasimu na watani wetu wa jadi. Lazima tuwafanyie mafekeche mbaki EPL.
Tunza hii comment yangu, hao chelsea na man u watachukua kombe kabla yenu.Huo ubavu hamna braza.....mnaelekea kuwa Man U version 2....mnaitumia mihela mingiii halafu hamna mnapokwenda....j2 tutahakikisha ile nafasi ya 4 Pep Guardiola anarudi pale....ni dharau Chelkenge kuwa juu ya City hamna hio hadhi
😛😛😛Kwa muda sasa nawatazama Real Madrid. Kama Jover akifanya vitu vyake kwenye training ground basi tunaenda semi final kirahisi kabisa. Hawa Galacticos wako very poor kwenye kudefend set pieces.
Agiza Pepsi NitalipiaKumjadili Madrid ni kupoteza muda tumeshatolewa, tufocus kumaliza top 2 EPL.
Sijajua unauliza itakuaje kwa upande upi. Ila, it's very unlikely kuendelea na Partey na Jorgi kwa next season.Jamaa anamtaka Guimaraes na Zubimendi.
Guimaraes ana kipengele kinasema Newcastle asipofuzu CL anaweza kuondoka kwa 60M. But msimu ujao CM tuna Rice, Merino, Odegaard, Jorginho, Lewis anapelekwa CM pia. Zubimendi ni 70% done, Guimaraes akija inakuaje?View attachment 3272738
NGoja tujionee bruvSijajua unauliza itakuaje kwa upande upi. Ila, it's very unlikely kuendelea na Partey na Jorgi kwa next season.
Two out, two in. Ila hilo dili la Bruno, ni hoax kama hoax zingine
Bado namuona Partey kwenye kikosi msimu ujao. Jorginho will leaveSijajua unauliza itakuaje kwa upande upi. Ila, it's very unlikely kuendelea na Partey na Jorgi kwa next season.
Two out, two in. Ila hilo dili la Bruno, ni hoax kama hoax zingine