makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,428
- 108,438
Sitizami mechi, ila martinelli hawezi kabisa kutokea upande wa kulia, bora kule kushoto huwa anabahatisha, au acheze kati kuna game kadhaa aliwahi kucheza vizuri.Arteta kakosea sehemu moja tu, Nwaneri wa kuanza daima mbele ya Martinelli kwa sasa.