MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,553
- 41,467
Watu hawaangalii mpiraHuu msimu hata ukitaka kulaumu ukicheki reality unabaki kujisemea moyoni tumejitahidi. City kaumia Rodri kapoteana kila sehemu
Kuna muda najiuliza magoli yanatoka wapi kama mfumo wa kocha kumtumia Merino kama namba tisa nachoka kabisa
Ila asiposajili striker sitakuwa upande wake tena

