arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,357
- 4,402
Mbona unanifatafata sana mkuu🤠🤠🤠....hivi mngefanikiwa jumapili kutufunga si ndo ungekuwa unani quote kwny majukwaa yte....kuwa muungwana sheikh tumefunga swaum ngumu😀😀😀😀[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli hivi sasa sijui hata ana hali gani huko aliko?
Nakumbuka wewe ulikua ni miongoni mwa watu wachache sana humu waliokua wanampinga Masingeli tena kwa hoja zenye mashiko ila chawa zake humu wakiongozwa na mkorea pamoja na arsenal2004 walikua wanakubeza na kukuona kama vile ni mamluki.