Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,796
- 4,297
Hakuna team isiyo na wachezaji wa kawaida ,na hakuna namna team inaweza kuwa na wachezaji Bora kila nafasi ndio maana hata Madrid mabingwa wa ulaya Kwa sasa unaona midfield yao Ina yumba baada ya ton kuoumzika na Luka kuchoka, wamebaki wachezaji wa kawaida sanaKila siku nasema humu ili arsenal muanze kupata vikombe kuna takataka nyingi hapo
: Odegaard, partey, Rice(hana consistent), trossard, sterling (huyu afungwe jela kabisa anakula mshahara hewa), Skely, Calafiori., Martineli, havertz, na kenge zote zilizopo on loan zikiongozwa na Fabio,,, !
Wa kubaki Arsenal ni Gabriel M, Saka, Saliba, Raya , Timber ,