Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

No ST signed.

Hesabu ni zile zile za kusubiri majeruhi warudi.
 
Timu top scorer ana goli tisa halafu mnataka ubingwa acheni bangi aseee
 
Attachments

  • Screenshot_20250204_172002_Opera GX.jpg
    Screenshot_20250204_172002_Opera GX.jpg
    161.3 KB · Views: 15
Angekuwepo Masingeli humu angekuja na zile habari zake za Supa Kompyuta inasema leo Tunampiga Nyukesto goli 4-0 halafu msimu huu Supa Kompyuta inaonesha tunabeba Yuefa.
Ngeli ni konyo sana yule mtu, toka amekimbia humu jukwaa limepoaa kama mchuzi wa nyoka uliokosa chumvi
 
Hao mijusi milia lazima watueleze leo ilikuwaje kuwaje wakatufunga zile mbili. Tutawapiga mpaka tuwahurumie.
 
Naona bodi inaendelea kuweka ngumu kwenye kusajili straika, ila kocha anaendelea kupambana kwa uwezo wake

Nafasi tatu zinapelea kwa sasa tukikamilisha izo, mwakani insha'Allah bila injuries tunabeba quadruple

Rw/Lw
Back up ya Saliba
Striker
20241127_111151.jpg
 
Kipigo kapewa City ila milio inatoka kuanzia unyumbuni hadi kwa ndugu zao ukengeni

Badala watu wafanye analysis ya Arteta's Tactical Masterclass against Pep, wao wanajadili kuhusu ushangiliaji wa wachezaji
20240430_121201.jpg
 
Back
Top Bottom