Sio rahisi hivyo...sio Man City hii.Just kucut in na kushut wapuuzi wanashindwa
Point yako ni kwamba city ni wabovu?Sio rahisi hivyo...sio Man City hii.
Yap..unaangalia aliyevutwa alikuwa kwenye position gani. Gordon asingevutwa alikuwa anatoa pasi ya mwisho kwa Isack na ingeleta goli la pili. Ile ya Kai haikuwa na hatari yoyote hata asingevutwa.Huyu Gordon alimvuta Kai, hajagewa kadi.
Yeye kavutwa kadi imetoka
Sana, sana, sana.Point yako ni kwamba city ni wabovu?
Kupindua inawezekana ila kufuzu ni ishuArsenal hii game mkipindua nitawapa Kongole
Ila naona Newcastle akishinda goli zaidi ya mbili
Huyu Gordon alimvuta Kai, hajagewa kadi.
Yeye kavutwa kadi imetoka


wazee wa kulialia tayari mmeshaanza, mkionaga tu mambo magumu mnatafuta visababu vya kipuuzi.