Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,060
- 95,616
vipi usajili??Kesho kutwa tuna Carabao na Newcastle
vipi usajili??Kesho kutwa tuna Carabao na Newcastle
Chances very slim unless we buy a release clausevipi usajili??
Watkins vipi??Chances very slim unless we buy a release clause
Tough times kwa Arsenal ni tangu msimu umeanza. Labda kama leo tu ndiyo unataka kutrace ugumu umeanzia wapiArsenal mnatakiwa mfurahie hii respite while you can.
Tough times are looming in the horizon.
Enjoy the respite while you can.Tough times kwa Arsenal ni tangu msimu umeanza. Labda kama leo tu ndiyo unataka kutrace ugumu umeanzia wapi
😹😹😹Sijaangalia game, Nimeona matokeo, ni jambo la kufurahisha leo tumempakata man city.
Aweeee..😹😹😹
Mtoto kautaaa…. Mtoto kautaka
Huyoooooo mtotooooo 🤣
😹😹 Tatizo watu wa group O waongo waongo sana, Maka hii ntakudai nakwambia mpk utatoa hiyo jersey.!!Ondoa shaka, tena msimu huu utapata hata kama tusipochukua ubingwa.
😹😹😹Aweeee..
😂
Oya, haina uongo, mie sio kama wewe, USIETAKA jambo letu lile la GROUP O. 😂😹😹 Tatizo watu wa group O waongo waongo sana, Maka hii ntakudai nakwambia mpk utatoa hiyo jersey.!!
Hizo ndio ngoma zenu😂, mie nasikiliza MSONDO NGOMA saa hizi.😹😹😹
Si kautaka mwenyewe, huyo
Kawaletea wahuni shobo, huyo
Si' kwetu hatumli kwa macho, huyo
Si kautaka umaarufu, huyo
Oya, mwanangu Kai peleka moto! 🤣
Oyoooooo 😻Oya, haina uongo, mie sio kama wewe, USIETAKA jambo letu lile la GROUP O. 😂
jezi utapata hili lishapitishwa. Subiri jezi za msimu mpya zitangazwe upate uzi wako.
Oyoooooo 😻
Maka ake huyo..!!
Jersey nnayo na natamba nayo..!! 🤸♀️
Maka unaiomba kimkakati 😹😹ile ujue group O wanatuhitaji, inabidi tupambanie ukoo wetu, inabidi tuongeze familia ya group O, lifikiri kwa kina Lamomy
😂🤣Maka unaiomba kimkakati 😹😹
Au sio 😹😂🤣
Hapana, napambania ukoo wetu wa group O, ukoo unateketea, watu wanaadimika, lazima sisi tusimame kidete ukoo uishi milele na milele.
Sasa kwani we unataka utamu tu, mie naangalia zaidi ustawi wa group O 🤣😂Au sio 😹
Maka muhuni muhuni sana wewe..!!
Yani wewe umefoward unataka mpk mtoto moja kwa moja 🤣