HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,674
- 7,130
Tuko sambamba na Manyumbu kuwasagia kunguni mpaka wamalize nafasi wanayostahili, yaani ile ya 17.Ili hesabu zikae sawa inabidi leo kenge apigwe na Westham.
Next match nyumbu anacheza na spurs. Hii game spurs atashinda.
Nafasi ya 17 itafikiwa tu