Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Maids Fc View attachment 3226352
😄😄😄😄 daah.

Halafu ulicheki goli la tano tulilompiga mamacita? Lile la Nwaneri? Sasa dunia nzima imeona Amadi anaigaga wapi shooting yake. Sisi hatuna noma. Vitoto vyetu vinatoa vichapo na elimu kwa pamoja, na vyenyewe hata form 4 havijamaliza.
 
Neville simfuatilii kabisa. Sina muda wa kupoteza kusikiliza chochote asemacho. Carragher namcheki akiwa na Titi, Big Meeks na Kate Scott. Hiyo ndiyo punditry team yangu pendwa. Ila popote pale pengine, simsikilizi Carragher.
Hakuna ninayemfuatilia hapo, ujinga wao hua upo tu kwenye pages za mpira
 
Neville simfuatilii kabisa. Sina muda wa kupoteza kusikiliza chochote asemacho. Carragher namcheki akiwa na Titi, Big Meeks na Kate Scott. Hiyo ndiyo punditry team yangu pendwa. Ila popote pale pengine, simsikilizi Carragher.
Carra akiwa na Titi vs akiwa na Neville ni watu wawili tofauti
 
Irekodiwe kwamba wana wamekuja kupaki basi.

We need through balls, long balls na long range shooting kwenye hii drama

Screenshot_2025-02-05-22-13-54-389_com.mobilefootie.wc2010-edit.jpg
 
Irekodiwe kwamba wana wamekuja kupaki basi.

We need through balls, long balls na long range shooting kwenye hii drama

View attachment 3226374
Mamaee 🤣🤣🤣

Kwa Mid ya Øde mzee wa vi-skills bila kushoot hatutoboi hii mbungi 😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾

Tukutane mwakani tena wazee, kama huna moyo mgumu hii gemu bora usipoteze usingizi wako
 
ISAAAAAK, naona VAR inaenselea kuwabeba pumbaf zenu.
 
Attachments

  • Screenshot_20250205_232020_FotMob.jpg
    Screenshot_20250205_232020_FotMob.jpg
    128.1 KB · Views: 21
Hii mechi tukiendelea kucheza highline tutaendelea kupasuka jamaa wanakimbia sana halafu wako clinical
 
Havertz anataka kupigana hapa baada ya kupoteza mpira. Anazawadiwa Yellow ya haraka haraka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom