Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wachache wataona hii kwakua tumeshinda
Kweli. Hata Odegaard alikula njano kwa kumkasirikia refa kwa kupuliza filimbi kwa foul baada ya Odegaard kumnyang'anya mpira Silva nje ya 18 yao na kuanzisha shambulizi ambalo huenda lingeisha na goli. Ode aliona kama amepata mpira kihalali kabisa...ila hasira zake zikampa kadi. Nadhani mchezaji wa City asingepewa kadi kwa hali kama ile.
 
COYG! Liverpool ndioa anakuwa kirusi mwaka huu, tupo so unlucky.
Liverpool wala sio Kirusi na Arsenyo hauwezi kusema ni unlucky.
Arsenyo shida yenu kubwa ni hamuwezi kubana kalio.
Ligi ikianza hua mnakaza weee, subiri zibaki mechi 10 za mwisho kila mnaekutana nae akiwakonyeza kidogo tu mnamgaia utamu halafu mnakuja kujilalamisha kua hamna bahati.
Kuna kamstari kembamba sana kanako watenganisha Arsenyo na mademu wa Kirangi.
 
Liverpool wala sio Kirusi na Arsenyo hauwezi kusema ni unlucky.
Arsenyo shida yenu kubwa ni hamuwezi kubana kalio.
Ligi ikianza hua mnakaza weee, subiri zibaki mechi 10 za mwisho kila mnaekutana nae akiwakonyeza kidogo tu mnagaia utamu halafu mnakuja kujilalamisha kua hamna bahati.

Hiyo kugawa utamu husianisha na timu yenu....toa jina la timu yetu hapo unatukosea....tunafungwa kwa bahati mbaya sio kama nyny sehemu yyte na siku yyte mnabondwa tu
 
Liverpool wala sio Kirusi na Arsenyo hauwezi kusema ni unlucky.
Arsenyo shida yenu kubwa ni hamuwezi kubana kalio.
Ligi ikianza hua mnakaza weee, subiri zibaki mechi 10 za mwisho kila mnaekutana nae akiwakonyeza kidogo tu mnagaia utamu halafu mnakuja kujilalamisha kua hamna bahati.
Kuna kamstari kembamba sana kanako watenganisha Arsenyo na mademu wa Kirangi.
Pumbav🤣🤣
 
Sisi hatuna bahati, halafu zaidi tunaonewa pia. Kinachotusevu ni kwamba bolu tunalijua na tunalipiga haswa mpaka saa zingine hata tukose bahati vipi au tuonewe vipi, tunajikuta tumeshinda. Umesahau ile mechi yetu na nyie ya FA? Mwishowe mkatutoa ila ingekuwa ni Liverkuku siku ile ungekuta wamewapiga 6.
 
Unapoteza muda kumpa airtime mtu hajui mpira.

Arsenal imekua inapoteza mechi moja, tatu, mbili, nne. Suluhu ndiyo zinakua nyingi sasa mtu akiandika Arsenal inafungwa sana huna haja ya kumjibu.
 
Nambeni mnipe link ya thread ya Arsenal nina hamu nao sana, si unajua Jana usiku jana walifanya uchakavu wa hali ya juu pale Emirates stadium?

Ni hayo.
 
Back
Top Bottom