Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nimelikosa hili pilau la nguvu leo hahahahah lol! Ilibidi nitoke wakati wa HT huku nikujua kwamba kama kawaida yetu leo ni tundu tu toka kwa wagonjwa wa Malaria 🙂🙂 lakini kutokuwepo kwa Drogba (muuaji wa Arsenal) baada ya kupigwa red card last week kulinipa matumaini kwamba labda tungeweza kutoa sare. Nilipotoka wakati wa HT tulikuwa nyuma 1-2 narudi naingia BBC kuangalia matokeo siamini macho yangu, maana kuwachapa wagonjwa wa malaria nyumbani kwao 5-3 si kazi ndogo 🙂🙂...Hongera sana kwa ushindi huu lakini kazi iliyobaki bado ni kubwa sana.
 
[COLOR=#5C5C5C !important]Robin Van Persie[/COLOR]
d4.gif
Top of the Match

His annus mirablis continued with a brilliant hat-trick, this time a simple tap-in, brilliant, nonchalantly taken second and a thumping third, which was the Dutchman's 10th league goal of the season and his 28th in his last 27 league games

[COLOR=#5C5C5C !important]Petr Cech

d5.gif
Flop of the Match

Made a fine save with his legs to deny Van Persie seconds after the break but his positioning was highly questionable for Walcott's goal and he might not want to see too many replays of the Dutchman's third, either

GOAL.COM

[/COLOR]
 
Nimelikosa hili pilau la nguvu leo hahahahah lol! Ilibidi nitoke wakati wa HT huku nikujua kwamba kama kawaida yetu leo ni tundu tu toka kwa wagonjwa wa Malaria 🙂🙂 lakini kutokuwepo kwa Drogba (muuaji wa Arsenal) baada ya kupigwa red card last week kulinipa matumaini kwamba labda tungeweza kutoa sare. Nilipotoka wakati wa HT tulikuwa nyuma 1-2 narudi naingia BBC kuangalia matokeo siamini macho yangu, maana kuwachapa wagonjwa wa malaria nyumbani kwao 5-3 si kazi ndogo 🙂🙂...Hongera sana kwa ushindi huu lakini kazi iliyobaki bado ni kubwa sana.

Duuh! Long time mkuu, kumbe ushindi kitu kizuri?!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hongera kwa ushindi, lakini punguza uwoga, be a man.

Wacha ngebe wewe, nilikaa na mishabiki kibao ya Chelsick ilikuwa inashangilia kama imekula unga wa JT nikawa navunga tu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee chacha hata hukuweza kunialika nije nikusanifu na vikongwe vyako khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Check hapa chini .... .

article-2055003-0E95822000000578-863_634x384.jpg

khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Chacha nakualika Emirates return leg usiwe mwoga tu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee with special condition uni-pm two weeks before the game nikuandalie ticket .... ... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mmekula ya chuya ....
 
hahahahaha, nipe mchongo basi mkuu! nitumie kwenye PM, hahahahahaha! OMG, gongo?! Sounds like such a heavy prise to pay for the lost game. Maisha yangu leo ni magumu kidogo maana hapa nyumbani kuna rafiki kibao washabiki wa Arsenal, I'm receiving loads of sticks plus lost bets, HALI YANGU NGUMU lakini nitasurvive, I'm a fighter.

Hahahahahah lol! We know that you're a fighter and it is too early to throw in the towel...lakini leo itakuwa vizuri upande kitandani mapema 🙂🙂 ukiamka kesho majonzi yako yatakuwa na ahueni LOL!
 
BUBU kitambo lakini.... Mambo vp??? Karibu tufurahi pamoja.....

Nipo Mkuu ila majukumu yameongezeka na kipande hii nilikuwa sitaki hata kupitisha pua kwa kuogopa kuzodolewa na wapenzi na mashabiki wa Old Trafford na Wagonjwa wa malaria.
 
Nipo Mkuu ila majukumu yameongezeka na kipande hii nilikuwa sitaki hata kupitisha pua kwa kuogopa kuzodolewa na wapenzi na mashabiki wa Old Trafford na Wagonjwa wa malaria.

Ha ha ha mkuu unaniangusha, jukwaa tulikuwa wote hapa msimu uliopita kila siku mpaka mwisho, sasa ukisema ulikuwa hutaki kupitisha pua huku noma tunakuitaji jukwaani hapa mkuu.

Leo nategemea hata Michelle atapita nae kutusalimia lol.
 
Nipo Mkuu ila majukumu yameongezeka na kipande hii nilikuwa sitaki hata kupitisha pua kwa kuogopa kuzodolewa na wapenzi na mashabiki wa Old Trafford na Wagonjwa wa malaria.

Mwanajeshi vitani haogopi ngeu ya Kisogoni......
 
Ha ha ha mkuu unaniangusha, jukwaa tulikuwa wote hapa msimu uliopita kila siku mpaka mwisho, sasa ukisema ulikuwa hutaki kupitisha pua huku noma tunakuitaji jukwaani hapa mkuu.

Leo nategemea hata Michelle atapita nae kutusalimia lol.

Sawa Mkuu nimekusikia kuanzia sasa nitakuwepo hapa kila nafasi inaporuhusu bila kujali matokeo ya siku hiyo. Keren Happuch na Michelle labda wote watapita hapa mtaani kwetu kushangilia huu ushindi mkubwa sana.
 
Wacha ngebe wewe, nilikaa na mishabiki kibao ya Chelsick ilikuwa inashangilia kama imekula unga wa JT nikawa navunga tu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee chacha hata hukuweza kunialika nije nikusanifu na vikongwe vyako khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Check hapa chini .... .

article-2055003-0E95822000000578-863_634x384.jpg

khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Chacha nakualika Emirates return leg usiwe mwoga tu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee with special condition uni-pm two weeks before the game nikuandalie ticket .... ... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mmekula ya chuya ....

See you in the Library, I'll be cheering from the away end.
 
Sawa Mkuu nimekusikia kuanzia sasa nitakuwepo hapa kila nafasi inaporuhusu bila kujali matokeo ya siku hiyo. Keren Happuch na Michelle labda wote watapita hapa mtaani kwetu kushangilia huu ushindi mkubwa sana.

Taratibu unakuwa mwoga kuliko hata Wacha, bora yeye hujitokeza baada ya mechi kama mmeshinda....wewe, duh! mpaka mshinde mechi ya Chelsea......khe khe kheeeeeeeee!!!!!!!
 
After seeing Man Citeh Game I think i should get undercover.... Only three words will mean alot to any Arsenal Fan..... "ROBIN VAN PERSI3" these three words mean just like "I LOVE YOU" mean to you in your LOVE life........

I LOVE ARSENAL......5 goals!!!!! We r Back Baby....
 
Ila hakuna chakushangaza nafikiri, mara kadhaa tukiwa on the ropes, AW (A GOD in my opinion) na vijana, huwa tunajitutumua, ila kati ya mechi zote, ya leo ilikua kali mno, ila wakuu, boss mpya wa chelsea, ananipa matumaini kidogo, ile back 4 yao, the way they defend, ni tofauti na the egoistic (I hate the m***********r) Mourinho!
Am so happy! Ila bado kama wadau kadhaa walivyosema humu ndani, defence yetu bado ina leak, Santos, kama asingefunga leo, sijui ingekuaje?! the German, goli la Terry, kwa kweli angeweza kufanya vizuri zaidi, ila sina haja ya kutibua furaha yetu, as am a no joy killer, nataka kusema, Gunners, are the most entartaining team on earth!
Hata kama wewe ni neutral, ni lazima utawatizama tu, na kupotea kwenye mchezo wao, especially if they are on song!
What a game, what a manager, brilliant team, ecstasy finish!
 
Acha kabisa.... huwa unakimbia most of the tymz.... leo sijui ndo umeshapata NGUMU ndo maana una ujasiri wa kuaki hapa......

tatizo lako unafikiri uko entitled kupewa pongezi wewe tu sio vinginevyo. Mbona wewe hutoi hizo pongezi unazotaka kila Chelsea inaposhinda?!
 
Back
Top Bottom