Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Man city yenye rodri,gundo,berndo,foden,kovacic,grealish,doku,kdb and halland Ina struggle na watu hawamtazami kocha ila wanahoji current quality kwenye pitch.

Angalia sisi sasa.
Una Kai,martinell,Saka,Jesus,trossard, jorginho,partey,rice and merino.kama ni mtu wa michezo you see something.

Hata tumpate don Carlo kwa aina ya approach yetu kwenye soko tutazidi kuteseka.

Splash quality over the pitch then hoji tactical aspects za kocha
 
Kama unakumbuka wakati arteta anapewa timu matarajio na mafanikio yalipangwa kwa phases.

Hata wachezaji tuliokuwa nao na tuliosajili wengi walikuwa ni kwa ajili ya kutengeneza mazingira ya kuaminiwa na world class players.walikuwa wanajenga standard ya timu na kurudisha trust na support ya fans na investors.

Wachezaji kama tavarez,Lokonga and the likes walikuwa ni level raisers .Tulipoingia phase four na five tulihitaji toptop class players.

Eneo la defense you see quality regardless makosa ya mara mojamoja .

Ila upande wa midfield we lack something.
Attacking line inakosa toptop quality.

Na hapa ndipo unapoyaona makosa ya wamiliki na matajiri wa timu.
Sajili nyingi tulizofanya tunazofanya ni option B au C na hii inachangiwa na kutoingia katika bidding war au slow negotiating process inayotokana na installment za ajabu za malipo.

Kuna makosa ya kocha kama sajili ya harvets and the likes ila ukweli unabaki wazi kwasasa ili uchukue Epl huhitaji tu kocha ambaye ni tactical genius bali you need money to spend,a lot of money.

Unasajili mtu asipo click usisubiri miaka mitatu find immediate replacement.

Angalia anachofanya pep na man city January hii halafu subirini may.


Kuumia kwa key players wa man city maana yake quality kwenye pitch ilipungua,wameliona na 170m imeshatumwa kutatua tactical and technical deficiency

Wasalaam
Kocha nae kimeo.
 
Kocha nae kimeo.
Hamjachelewa Ten Hag bado hana timu, mkimpata january hii nawahakikishia May mnabeba EPL na Champions League.
1736598714477.jpg
 
Arteta kaulizwa kama ana mpango wa kusajili January kajibu labda wakiona mchezaji ambaye akifika ataleta impact na siyo kumleta mchezaji kwakua ni mchezaji tu.
 
Back
Top Bottom