Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,842
- 16,292
Katika kitu tunakosa ni individual brilliance ya kuamua mechi kama hizi


Masingeli alikua anawaaminisha Harvez, Ordegard, Rice na Saka ni World class players, inakuwaje sasa leo mnalalamika kua timu haina individuals brilliance?