mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,582
- 19,225
Changes ndogo sanaNwaneri anaumwa.
Baada ya game na Newcastle tuna game na nyumbu kwenye FA. Kuna page imetabiri kikosi cha kesho kinaweza kua hivi View attachment 3194305
Ingawa naona ni ngumu kiasi. Why?
Baada ya game ya kesho tarehe 12 tuna game na nyumbu kwenye FA. Kisha baada ya tarehe 12 unarudi mchaka mchaka wa kila baada ya siku 2 mechi.
Nahisi Arteta anaweza risk starters game ya kesho zaidi kuliko ya nyumbu labda waingie dakika za lala salama, ukizingatia sisi tupo CL na ligi wakati tunaokutana nao hawana cha kupoteza siyo kwenye ligi wala nje ya hapo so wao watakua full mkoko kutuzidi.
Newcastle atakufa tu, hakuna namna
