Martineli ndio matembele? 😂😂😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna kamstari kembamba sana kanakomtenganisha huyo Matembele wenu na Antony Masebene, ni vile tu mashabiki wa Arsenyo hua wanapenda sana kuwapamba wachezaji wao.
Amachanganyikiwa kuna goal 4 hapa nazionaKocha kamuingiza Jorginho 🤔
😁 sio mbal n trh 12Bado kidogo, tutaanza kuhoji uwezo wa kocha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapa labda mpate goli la penalty tu.Basi linapakiwa sasa
Ushindwe kumfunga Newcastle nyumbani kwenu utegemee utamfunga kwake?Kuna marudiano