Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Lower your expectations and you will thank me later.
@fuentte

IMG-20250104-WA0019.jpg


Tuishi humu wanagunners
 
Hiki kikundi cha wahuni hakiwezi maliza juu ya man city
Tukiwaambia Arteta uwezo wake unaishia kwenye Top4 tu, hana akili wala uwezo wa kuchukua Epl watu wanakua wakali humu.
Tetea ni mid table coach, mentality yake ni ya kufundisha mid table team ambazo malengo yao makubwa ni kuwepo tu ndani ya top10 kwenye msimamo wa ligi.
kumtegemea Tetea abebe Epl au Uefa ni sawa na kutegemea bikra kutoka kwa single mother.
 
Tukiwaambia Arteta uwezo wake unaishia kwenye Top4 tu, hana akili wala uwezo wa kuchukua Epl watu wanakua wakali humu.
Tetea ni mid table coach, mentality yake ni ya kufundisha mid table team ambazo malengo yao ni kuwepo kwenye top10 kwenye msimamo wa ligi.
kumtegemea Tetea abebe Epl au Uefa ni sawa na kutegemea bikra kutoka kwa single mother.

Nakumbuka kuna kipindi walisema pep akisepa wata dominate epl for 10 years .

Uzuri wa mpira si mambo ya kusadikika , unawaambia false hopers ubingwa hauchukuliwi kwa set pieces goals ila wanakaza mishipa ya shingo.

Zero open chance kwenye game 5 mfululizo plus ushindi wa papatu then ujite title contenders
 
Kati ya Liverpool na city, kiukweli tuombee city azidi kupoteana. Liverpool tutajua wapi kwa kumdaka
By February 20 hivi Liverpool atatupisha pale juu

At that time saka atakua amerudi so tusiwe na majerui ya key players tu

Mtu kama huyu tunamsaidia vipi?? Na huyu si atakacha si mda mrefu ndugu zangu
 
Ngoja tutoe elimu ya bure kwa false hopers wote humu ndani kina castr , mkorea , henry na wengine wote.

Cha kwanza kabisa muelewe huu ni mpira hauendeshwi na false hopes bali performance ndani ya uwanja, ili uweze kuwa bingwa atleast uwe na 3 world classic players ndani ya team yako.

Beki 1 ambae ni world classic player , kiungo mmoja na striker mmoja wasipungue zaidi ya hapo , na kama sehemu mmoja kati ya hizo 3 hamna basi mbele pawepo na zaidi ya mmoja.

Amini amini nakuambia huwezi chukua ubingwa kwa kumtegemea martinelli , trossard , kai , saka na gabriel jesus . This are average players lakini ndani ya ulimwengu wa matumaini bandia kwenu ni kama world classic player ndo tatizo hilo linapoanzia.

World classic player pale arsenal ni mmoja tu william saliba halafu ni beki sasa ndo kama mnavyoona defence nzuri , tukija kati zero tukienda mbele zero mnabaki kushikana mashati na wengine kulikimbia jukwaa
 
Back
Top Bottom