Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Highest rated teams in the #UCL group stage:

Real Madrid - 6.94
Manchester City - 6.92
Arsenal - 6.87
Bayern Munich - 6.86
Atletico Madrid - 6.85
 
kwa UCL hususani kwenye knockout phase ,kila timu ni threat.. haijalishi katika domestic leagues zao zina form ipi.

ubora wa wachezaji zaidi ndio huwa unaamua matokeo mara nyingi.. mbinu za makocha zinaishia group stages tu.
 
Sisi tunachofanya ni kutunza hizi risiti halafu baadae tuje kukumbusha maana mpira wa mdomoni haujawahi kuwa mgumu bali uwanjani
Tusubiri February hapo wala sio mbali uone hizo timu nyepesi zitakapo badilika ndo utaelewa kwann ile ni Uefa
Ww ni shabiki wa timu gani...tafadhali naomba nikufahamu mkuu
 
Ww jamaa mda mwengine unajitoa akili hilo ndo lilikuwa group la kifo halafu ww unasema halikuwa jepesi
Ac Milan bingwa mara 7
Dortmund ana misimu karibu 6 anafika hatua ya 16 na ashafika hadi final
Psg kila mwaka yupo Uefa na alishacheza hadi final
Newcastle ndio timu pekee kibonde kwenye hilo group ulitemegea angefika wapi
Kwamba Ac milan bingwa mara 7 ndio nini sasa? hii sio hoja, tumia akili, Kuwa bingwa kwa historia kuna uhusiano gani na ubora wa timu husika kwa sasa? aston villa & Forest ni mabingwa kwenye historia lakini hawapo uefa
 
Tukimpata Palhinha + Ivan toney tunakuwa mabingwa wa Uefa au ligi, habari za msimu ujao itakuaje akisajiliwa flani tuachane nazo, mbona city wanasajli Grealish/ phillips/ nunes wanakaa bench paka matumizi yao yakipatikana, tuwaze makombe kwanza. Lete palhinha & toney( mkopo) brentford ndugu zetu.
 
kwa UCL hususani kwenye knockout phase ,kila timu ni threat.. haijalishi katika domestic leagues zao zina form ipi.

ubora wa wachezaji zaidi ndio huwa unaamua matokeo mara nyingi.. mbinu za makocha zinaishia group stages tu.
Acha kuchekesha watu mzee, kwamba 'mbinu za makocha zinaishia group stages!' kwahiyo Villareal ya Emery ilikuwa na wachezaji bora kuliko Bayern?
 
PSV manager Peter Bosz on Kai Havertz (they worked together at Bayer Leverkusen):

"You don’t need to be a scientist in football to see this was a big, big talent. Absolutely. He is really a modest guy... An outstanding, outstanding player." #AFCView attachment 2841075
Unatumia nguvu nyingi sana kuisafisha hii takataka. Hakuna kitu humu. Huwa anarukaruka tu uwanjani.
 
Niwe mkweli tu, siku hizi mimi napendelea kutembelea uzi wa gunners kila nikimaliza kufanya shughuli zangu za msingi ili kupata burudani ya jinsi mashabiki wanavyojiskia wakubwa kuliko uhalisia wenyewe. Ila najua hii yote ni ugeni wa kuwa kwenye form, muda ukipita kidogo mtazoea na mtaona vitu vya kawaida sana tu. Huwezi kuta shabiki wa liverkuku, nyumbu, city na chelkenge waki exaggerate ubora wao kama mnavyofanya nyie, its too much gunners.
 
We si unatimu lako braza.. Kaka Basi tuachie li arsenal letu tufurahi maan amn jema tukiwa wabovu majungu. Tukiwa formm majungu

Sasa sijui mnataka nn sasa kwetu kifanyike mfurahi!??

Hamna jema mnalotaka kwetu
 
Wewe timu lako limeburuza mkia UCL,kaa kimya
20231214_124655.jpg
 
We si unatimu lako braza.. Kaka Basi tuachie li arsenal letu tufurahi maan amn jema tukiwa wabovu majungu. Tukiwa formm majungu

Sasa sijui mnataka nn sasa kwetu kifanyike mfurahi!??

Hamna jema mnalotaka kwetu
Formula ni ileile ndugu zangu...tuhakikishe nyakati za usiku tunatembea kwa vikundi...hawashindwi kutuvamia hawa....yaani mtu timu kufanya vzuri hataki tufurahie kabisa....wanataka tuwe tunalalamika tu mda wte kama wao wanavyomlalamikia Kipara mandonga Baba Ubaya ten hag...hii akili unaikuta kwa mashabiki wa Manunu tu
 
kwa UCL hususani kwenye knockout phase ,kila timu ni threat.. haijalishi katika domestic leagues zao zina form ipi.

ubora wa wachezaji zaidi ndio huwa unaamua matokeo mara nyingi.. mbinu za makocha zinaishia group stages tu.
Nakubali aisee. Unskumbuka ule msimu Chelsea walibeba champions league huku premier league wakimaliza nafasi ya 5? Wakajikuta wanaenda kutetea kombe lao msimu uliofuata Kwa kuchukua nafasi ya Tottenham ambaye alikuwa wa 4?
 
Shabiki wa chelkenge anapiga kelele humu ,timu lake linashika nafasi ya 12th

Na kunauwezekano wakalipeleka Hadi nafasi ya 17
 
Niwe mkweli tu, siku hizi mimi napendelea kutembelea uzi wa gunners kila nikimaliza kufanya shughuli zangu za msingi ili kupata burudani ya jinsi mashabiki wanavyojiskia wakubwa kuliko uhalisia wenyewe. Ila najua hii yote ni ugeni wa kuwa kwenye form, muda ukipita kidogo mtazoea na mtaona vitu vya kawaida sana tu. Huwezi kuta shabiki wa liverkuku, nyumbu, city na chelkenge waki exaggerate ubora wao kama mnavyofanya nyie, its too much gunners.
Siyo kwamba hatujui kuwa tunajizidishia chumvi. Tunajijua tunauwezo ila tunajua udhaifu wetu zaidi. Ni kwamba tukishinda, kitu ambacho kimekuwa kikitokea zaidi ya zamani, tunakuza ukubwa wetu. Tukifungwa, kitu ambacho kimepungua kuliko zamani, tunakuza udhaifu wetu. Yaani ni tabia tu za kishabiki na, niamini, majukwaa yote yako hivyo.
 
Back
Top Bottom