Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal ipi hii ya sasa?? mmh!!! ila sishangai maana false hopers suala la kuamini kwenu ni suala mtambuka😂.

The last time nilikua false hoper ile ndo ilikua arsenal mazee ivi kombe mlikosa vipi nyinyi daah!
Yaani arsenal ilikua inatisha mpaka Christmas watu wote wakakubali acha false hope ichukue kombe maana mpira ulikua unapigwa hatari yule zinchenko kama sijui inverted nini vile 😆, jesus yupo moto.
Gemu na Bournemouth , man utd uwanja ulikua umeinama mpira unapigwa haswa mwanangu bukayo ananitesea luke shaw .
Mwisho wa siku ikawa false hope nikaona hapana inatosha hizi false hope for 20 years zimezidi.
Arsenal ya sasa mmepoa sana kuanzia wachezaji mpaka mashabiki😂😂😂😂 yaani mpaka hamis kakacha unafanya mchezo.
Castr ukimwambia Arsenal bingwa lazima akukatae saivi, zincheko mmepeleka wapi na lile ball lenu la inverted midfielder mzee .
Leo nimeangalia mpira wenu naona mnarukaruka tu
Umeandika maelezo marefu ila haujasema kama baada ya kutangulia kufungwa leo Arsenal imeshinda au imefungwa
 
Unaweza ukahatewatch baadhi ya timu na ukapata unachotaka. Ukaona makosa, udhaifu na hatimaye timu inafungwa.

Ukihatewatch Arsenal ukitarajia uone makosa na ifungwe unajichosha tu. Muda wa kufanya hivyo ungelala uwahi kuamka kesho yake. Kuna wengine hua Arsenal ikitanguliwa wanashindwa kujizuia wanapost matokeo haraka mfano ARV wengine hua wanasubiri mechi iishe ndiyo wanakuja kuandika historia.

Unlike Manchester United, Newcastle, ambazo unaweza predict hata siku nne kabla kwamba zitafungwa na zikafungwa kweli. Kwa Arsenal wanaprefer kufanya ubashiri huku mechi inaendelea.

Niliwahi sema Arsenal ikisuluhu ni jambo la ajabu na ushindi kwa wengi kwakua hiyo ndiyo standard. Hata mashabiki tunakasirika tukisuluhu. Sasa wamejua kwamba watakua hawaingii huu uzi kama watasubiri tusuluhu au tufungwe so wanaingia tu hivyohivyo, wanaandika kitu kilichowafurahisha wanaondoka.
 
Pundits wakatumia utaalamu wao wa soka na kubashiri 😏

Screenshot_2025-01-02-08-10-20-854_com.instagram.android-edit.jpg
 
Arsenal ipi hii ya sasa?? mmh!!! ila sishangai maana false hopers suala la kuamini kwenu ni suala mtambuka.

The last time nilikua false hoper ile ndo ilikua arsenal mazee ivi kombe mlikosa vipi nyinyi daah!
Yaani arsenal ilikua inatisha mpaka Christmas watu wote wakakubali acha false hope ichukue kombe maana mpira ulikua unapigwa hatari yule zinchenko kama sijui inverted nini vile , jesus yupo moto.
Gemu na Bournemouth , man utd uwanja ulikua umeinama mpira unapigwa haswa mwanangu bukayo ananitesea luke shaw .
Mwisho wa siku ikawa false hope nikaona hapana inatosha hizi false hope for 20 years zimezidi.
Arsenal ya sasa mmepoa sana kuanzia wachezaji mpaka mashabiki yaani mpaka hamis kakacha unafanya mchezo.
Castr ukimwambia Arsenal bingwa lazima akukatae saivi, zincheko mmepeleka wapi na lile ball lenu la inverted midfielder mzee .
Leo nimeangalia mpira wenu naona mnarukaruka tu
Arsenyo ya miaka 2 iliyopita hata kucomment humu ilikua ni marufuku mpaka uonyeshe kwanza cheti chako cha ukocha, na wengine wakapiga mpaka marufuku wasikotiwe.
Hili jukwaa lilipitia masahibu mazito sana aiseeee.
 
Unaweza ukahatewatch baadhi ya timu na ukapata unachotaka. Ukaona makosa, udhaifu na hatimaye timu inafungwa.

Ukihatewatch Arsenal ukitarajia uone makosa na ifungwe unajichosha tu. Muda wa kufanya hivyo ungelala uwahi kuamka kesho yake. Kuna wengine hua Arsenal ikitanguliwa wanashindwa kujizuia wanapost matokeo haraka mfano ARV wengine hua wanasubiri mechi iishe ndiyo wanakuja kuandika historia.

Unlike Manchester United, Newcastle, ambazo unaweza predict hata siku nne kabla kwamba zitafungwa na zikafungwa kweli. Kwa Arsenal wanaprefer kufanya ubashiri huku mechi inaendelea.

Niliwahi sema Arsenal ikisuluhu ni jambo la ajabu na ushindi kwa wengi kwakua hiyo ndiyo standard. Hata mashabiki tunakasirika tukisuluhu. Sasa wamejua kwamba watakua hawaingii huu uzi kama watasubiri tusuluhu au tufungwe so wanaingia tu hivyohivyo, wanaandika kitu kilichowafurahisha wanaondoka.
Mimi nilikuwa nafurahia tu goli la kwanza EPL mwaka 2025 na nikafurahi zaidi kuona goli hilo amefungwa aseno'
 
Mnatumia muda wenu ku-criticise mapema hivi!

Bado mechi 19 umeshajipangia wewe unamaliza nafasi ya 2 na Man U ya 14.

Nakukumbusha tu mechi 19 zilizobaki zina jumla ya point 57 United akishinda zote anakuwa na point 79!
Hizo mechi 19 kesho kutwa mnaanza na Liverpool zinabaki mechi 18.
 
Arsenyo ya miaka 2 iliyopita hata kucomment humu ilikua ni marufuku mpaka uonyeshe kwanza cheti chako cha ukocha, na wengine wakapiga mpaka marufuku wasikotiwe.
Hili jukwaa lilipitia masahibu mazito sana aiseeee.
ila ni jukwaa lililochangamka kuliko yote
 
Mnatumia muda wenu ku-criticise mapema hivi!

Bado mechi 19 umeshajipangia wewe unamaliza nafasi ya 2 na Man U ya 14.

Nakukumbusha tu mechi 19 zilizobaki zina jumla ya point 57 United akishinda zote anakuwa na point 79!
suala sio akishinda, huo uhakika wa kushinda mechi zote 19 ukavuna hizo point kwa timu yako unao? mnaanza na Liverpool
 
United haiwezi kushuka daraja kwakua walio chini kule they are not getting better soon. So united aweza pigwa na kupigwa ila sidhani kama anaweza kua relegated.
Kweli japo maajabu huwa yapo.
 
Jumamosi tuna mechi na Brighton ambayo tunaenda huku Timber akiwa hayupo kwenye selection kutokana na kadi za njano alizopata.

Nwaneri amecheza vizuri RW kuliko Martinelli, lakini Nwaneri ameonyesha kwamba siyo mzuri kutrack back. Partey na Timber wamefanya cover up ya defence vizuri kiasi kwamba hakuna gap tumeona.

Kwakua next match Timber hayupo Arteta anaweza kumuweka tena Partey kama RB. Means defense coverage ya Nwaneri inapungua, itakua ideal kumchezesha tena Nwaneri RW kama Partey atarudi RB?

Arisk kumuamini Calafiori kama RB na Myles awe LB ili asidisturb defense coverage anayoipata kutoka kwa Partey?

Tucheze back 3?
 
hivi "bottlers" ni watu wa namna gani hao
Bottlers ni wale walio katika nafasi nzuri ya kupambania ubingwa na kila mtu akaamini kua lazima watabeba kombe lakini ikifika mwisho wa msimu wanajikuta wamekalia chupa na kutoka mikono mitupu.

Bottlers kwa lugha ya kawaida hua wanaitwa loser.
Bottlers inaweza kua hata kati ya mechi na mechi mfano mpaka dakika ya 80 Arsenyo inaongoza kwa 3-0 kila mtu anakua na imani kua tayari Arsenyo ameshajichukulia points zake 3, halafu kufika dakika 90 wahuni wanapindua meza na kuwagonga Arsenyo 4-3 hatimae Arsenyo anakua amepoteza points3 hapo kwa lugha ya kimichezo Arsenyo ataitwa Bottlers.
 
Back
Top Bottom