Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,316
- 3,947
yule shabiki wa newcastle najua ni mamluki la Unyumbu, labda nikuulize, Eddie howe ana mpango gani na Newcastle, kuchukua ubingwa, kwenda uefa au nini? ana muda gani na malengo yake ni yapi au amepata nini?
Eddie howe aliishusha Bournemouth daraja, akaenda kujifunza namna ya ku defend kwa Diego simeon, intensity, profiling hata oop structure, lkn amepata nini kwa muda aliokaa Newcastle?
Mimi nilikua false hoper kama wewe lakini mwisho wa siki nikaona hapana false hopes for almost 20 years inatosha.
Eddie howe kaikuta newcastle nafasi ya 17 relegation zone akaitoa mpaka nafasi ya 11 first season, second season akaipeleka top 4 season iloyofuata.
Eddie howe ndo kwanza huu ndo mwaka wake wa 3 usifananishe na teta lenu lenye miaka 6 ndani ya team halafu hela kibao limetumia linakuja kutegemea magoli ya kona .
Newcastle imejipata kwenye kipindi ambacho kuna mambo mengi si kama zamani man city saivi kuna FFP so usajili lazima uende slow.
Tunachotafuta kwa sasa ni world classic defender maana tayari tuna world classic midfilder na world classic striker then baada ya hapo tuanze rasmi mbio za ubingwa haitachukua miaka 21 + kama nyinyi kupata ubingwa soon rather than later tutakua epl champion wakati nyinyi mkiendelea na msoto, maana ngoma yenu itatembea mpaka 2050 without epl au unabisha ?? [emoji23][emoji23]