Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenyo wameshakubaliana kua wanaanza ligi rasmi January.
1734337817228.jpg
 
Hivi kuna kitu umegundua?
Angalia hizi team na falsafa zao za kiuchezaji na fomu Yao msimu huu
Arsenal
Bayern
Barcelona
Mancity
Psg

Angalia vitu vifuatavyo
Makocha
Falsafa ya uchezaji wao
Wachezaji wa hizo team
Matokeo ya mech za karibuni au msimu huu
Something is happening
 
Katika timu zote ulizo ziorodhesha hapo timu lofa kuliko zote ni Arsenyau kuanzia
-Kocha
-Falsafa ya uchezaji
-Wachezaji
-Matokeo pamoja na MAKOMBE(TROPHIES)

Kiuhalisia Arsenyo ni kanyau flani hivi kenye utapiamlo lakini mashabiki wake wanaforce hako kanyau kaonekane ni li Simba limoja likubwa hivi.

Ni dharau kubwa Arsenyo kuifananisha au kuinasibisha kwa namna yoyote ile na Bayern, Barcelona, Mancity au Psg.

Leo tunakusamehe ila siku nyingine kwa namna yoyote ile kabla ya kuzifananisha, linganisha au kuzinasibisha hizo timu na Arsenyetoz hakikisha uwe na wakili wako pembeni
 
Daah mwanangu flano acha basi kutusagia kunguni.
Unajua una mech ngapi hujapata matokeo dhidi yetu?au unajishaua kama wale washkaji wachora tattoo😀😀😀😀?

Sisi kwasasa kiasi chake tumepoteza consistency.ila kuifananisha arsenal na Manchester united ni sawa na kuifananisha Bentley na Nissan dualis.

Tumewaacha kwa class na kocha wenu analijua hilo.tumeipiga sporting cp yake na Manchester sita
 
Nawaambia tafuteni wachezaji wa kueleweka hawa kina sijui hujurungi mara biriyani penandoz siku tukikutana na nyie tukiwa in full force basi hakuna rangi mtaacha kuiona.
 
Nawaambia tafuteni wachezaji wa kueleweka hawa kina sijui hujurungi mara biriyani penandoz siku tukikutana na nyie tukiwa in full force basi hakuna rangi mtaacha kuiona.
shauri yako, mpaka january inaisha na ndoto za top4 zitakua tayari zimeyayuka, sisi tutabaki kuwacheka tu.
Timueni hio Tetea mtafute kocha wa kueleweka, la sivyo kila msimu nyinyi mtaishia kua wapenzi wasindikizaji tu.
1734337817228.jpg
 
Hata Labyrinth amerudi 😀😀. Mpira umekuwa mtamu sasa 😀😀
😂😂😂 nacheka sana ivi kocha wenu pesa zote zile alizotumia bado anategemea magoli ya corner kama mechi za bongo.
Chelsea hao wakikaza kidogo ubingwa huo hapo .
Nyinyi false hope sijui phase zote zile lakini holla daah.
watu wakuhurumiwa zaidi hapa dunian ni Arsenal fans.
 
umejipanga kuhamia Chelkenge hivi karibuni? Ama utabaki na Mijusi kidogo kwanza?
 
Arsenal ana kombe moja la ligi tangu dunia iumbwe?

Update knowledge yako ya mpira kabla hujasumbua watu kusoma unachoandika.
Mimi nimeleta Data. Nawe ulitakiwa ulete uthibitisho wako kwa maandishi kama nilivyoleta. Research hupingwa kwa research🤣🤣🤣🤣
 
Mimi nimeleta Data. Nawe ulitakiwa ulete uthibitisho wako kwa maandishi kama nilivyoleta. Research hupingwa kwa research🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo hata ukiandika uongo ukaubatiza jina la research unatarajia mtu asumbuke kukuelewesha kwamba umeandika uongo?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 washika manyati

Nyenyenye star boy saka anatuletea EPL 🤣🤣🤣🤣🤣

Mnigeria wa mwisho alikuwa anajua ball Ni okocha tu hawa wengine ni matapeli
 
washika manyati

Nyenyenye star boy saka anatuletea EPL

Mnigeria wa mwisho alikuwa anajua ball Ni okocha tu hawa wengine ni matapeli
Labda ni kweli unachosema lakini ni kwa zama zile niambie baada ya Ronaldinho gaucho mbrazili anayefanya vitu kama vyake? Utagundua ni zama
 
Back
Top Bottom