Leo ni carabao cup knockout stage gainst Palace.
Serious concern tuliyonayo ni majeruhi tulionao, Rice na Odegaard kuna uwezekano wasiwepo, ambao ni majeruhi hawana dalili ya kupona. Neto hawezi kucheza hii mechi kwakua tayari alishawahi kucheza.
Funny enough ni kwamba Sisi na Palace wote tuna changamoto ya kuscore.
Nketiah hajawa hatari kwa Palace inhawa walilipa 25M hata hivyo tunakutana huku sisi tukiwa kwenye kipindi kibaya wakati Palace kwa sasa wamegain momentum kulinganisha na walivyoanza msimu.
So Palace akianza kuscore inawezekana mechi ikawa imeshaisha. Kwakua hii ni carabao inawezekana hata kama Odegaard na Rice wangekuepo wasingechezeshwa so let's wait n see