Na bado hamjaasema ,mtasema mwaka huu .Itakua hujanikamata sawasawa.
Kwa ninavyoelewa rungu linaanza wafuata msimu ujao
Karai ya zege ndio ubingwa wenu ,mtabeba karai la zege tu .
Shuwain , tangu lini Arsenyetoz awe bingwa , we uliona wapi ?
Na bado hamjaasema ,mtasema mwaka huu .Itakua hujanikamata sawasawa.
Kwa ninavyoelewa rungu linaanza wafuata msimu ujao
Chelsea hana timu ya ubingwa usijipigishe chapuo hapa, naona mmejaa vichwa mnaanza kujiona mabingwa, ukiona chelsea atakuwa bingwa itoshe kusema hujui mpiraPoleni sana Chelsea itachukua ubingwa kabla yenu
TutaonaChelsea hana timu ya ubingwa usijipigishe chapuo hapa, naona mmejaa vichwa mnaanza kujiona mabingwa, ukiona chelsea atakuwa bingwa itoshe kusema hujui mpira
liver katoa suluhu akiwa pungufu tena chances created kibao nyie suluhu na everton 😂😂 wote mpo ndaniLiver katoa suluhu ila na wao wapo hapa wanashangaa Arsenal kutoa suluhu
Chelsea hana timu ya ubingwa usijipigishe chapuo hapa, naona mmejaa vichwa mnaanza kujiona mabingwa, ukiona chelsea atakuwa bingwa itoshe kusema hujui mpira
False hopers mpo? nakumbuka kuna siku jamaa mmoja alisema chelsea na ubovu wake ule atakua vizuri na atachukua EPL kabla ya Arsenal. Nikameambia alichosema ni kama utani lakini ndo ukweli wenyewe.
Na kuna false hoper mmoja alisema pep akisepa basi arteta atatawala sana EPL.
huwezi kuchukua EPL kwa kutegemea magoli ya kona 😂.
Arsenal katika ubora wake eti mafanikio ni kushika nafasi ya
Kama umeamini ni sawa! Hiyo ni imani ya mtuFalse hopers mpo? nakumbuka kuna siku jamaa mmoja alisema chelsea na ubovu wake ule atakua vizuri na atachukua EPL kabla ya Arsenal. Nikameambia alichosema ni kama utani lakini ndo ukweli wenyewe.
Na kuna false hoper mmoja alisema pep akisepa basi arteta atatawala sana EPL.
huwezi kuchukua EPL kwa kutegemea magoli ya kona 😂.
Arsenal katika ubora wake eti mafanikio ni kushika nafasi ya 2 😂😂😂😂
Katoa suluhu akiwa pungufu dhidi ya nani?liver katoa suluhu akiwa pungufu tena chances created kibao nyie suluhu na everton 😂😂 wote mpo ndani
Kuna yalla live and koora live jaribu hizoAnayejua website ya kustream ambayo haigandi gandi aitaje wazee
Zote ninazojua zinastuck.
Najua livesports, yacine na orstreams
Yalla live inastuck ila siyo kama nilizokua natumia.Kuna yalla live and koora live jaribu hizo
Tafuta News Live Ten sport utaangalia hadi mechi za ligi zote duniani live bila chenga.Dah yaani napata link tu na nyumbu wanapigwa.