Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ile composure na skill ya goli la Gabriel ni nzuri sana.
 
Nimeingia JF ili tu kukushitua umuone mwanetu jesus, huwezi mfananisha na kiazi kai.
Kama anaaminiwa kama msimu wakr wa kwanza ule, jesus bado ni msaada, shida yake ni pancha tu, tofauti ya hilo ni bonge la mchezaji.
Pancha ndiyo changamoto kubwa ila no mchezaji wa level ya juu kwa Kai
 
Second half ilikua very promising.

In 10 seconds Dean akakutana na shots 4 zote zinahitaji majibu.

Hawa watu wazima wanawafundisha vibaya vijana, unaona Nwaneri idea yake ni kusogea mbele na mpira anaupata anaitoa anatangulia mbele aletewe mtu anapiga back pass.

Tierney was superb pamoja na kua nje kwa muda mrefu ila alikua very solid, anafanya overlap za maana isipokua alikua hagewi mipira. Jamaa ni mzuri sana kwenye krosi sidhani kama tuna LB anayemzidi kwenye accuracy ya long balls.

Dhidi ya Sporting Kiwior alishindwa mbio na ubavu na Gyokeres ambaye kacheza dakika zote huku yeye akiwa mpya hana dakika mbili na Gyokeres akagongesha mwamba. Mateta akampa same treatment na akascore. Pace na upande vyote vilevile Kiwior akashindwa kumpa majibu Gyokeres siku ile na Mateta jana.

Nafikiri physically itakua ni challenging kwa Kiwior akikutana na STs ambao wana pace na nguvu. Aimprove huko

Tumejitahidi ila inabidi kusajili January
 
Draw hii hapa

Screenshot_2024-12-20-13-06-37-227_com.mobilefootie.wc2010-edit.jpg
 
Dhidi ya Newcastle kwenye nusu fainali ya Carabao itakua ni two legged tie.

First leg itachezwa January 7 na second leg itacheza February 4. Kwa kuzingatia jinsi tulivyo slow kusajili inawezekana first leg ikatukuta hatuna sajili mpya ya kuhakikisha ushindi.
Tujipange
 
Dhidi ya Newcastle kwenye nusu fainali ya Carabao itakua ni two legged tie.

First leg itachezwa January 7 na second leg itacheza February 4. Kwa kuzingatia jinsi tulivyo slow kusajili inawezekana first leg ikatukuta hatuna sajili mpya ya kuhakikisha ushindi.
Tujipange
Kuna uhakika gani kuwa mkofanya usajili mtapata ushindi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom